Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Wewe mapenz napesa kwasasa nisawa namaji namtungi au ccm narangi yakijani, me Kiukweli sijawahi kuwa namwanamke nimtakae bali nakuwa namwanamke nimpatae yote hiyo sababu sina pesa
 
Kwa Kweli Mimi Mwanamke napenda Anipende Kwasababu najua Kutafuta Pesa...mwabamke anipendee hivi hivi tuu??Kwani mi kaka yake?
Mi nataka Mwanamke anipende kwa ajili ya Hela Zangu ili anipe Nguvu ya Kuendelea kuzitafuta
Cc:Wanawake wote warembo....
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Sasa hapa unazidisha mbwembwe na wewe. Wanawake siku hizi mnafanya kazi and you're highly paid. Pesa zenu mnapeleka wapi?
Pesa ya mwanamke ina mambo mengi 100 kidogo mwanamke anaejitambua ukimpa ya kwako anafanyia maendeleo haswaa wala sio kujiremba Mimi ukinipa laki tano, mfano;jua italipa ada na ntaongeza mtaji wa askirimu pia!
 
No money, no Honey, pesa ina mchango mkubwa sana katika mapenzi ya kweli tukatae tukubali.

Mimi mwanamke wangu sio kwamba ananiuzia big Noo, ila kila akija kunipa shoo lazima nimpe pesa, tofauti na ninazompa siku nyingine na haombi wala nini.

Sasa wewe kisa mtoto wa kike anakupenda basi kila siku umvue tu chupi umkaze halafu aende zake kila siku????

Kuomba hawezi ila atakuwa anaumia moyoni, na hapo akimpata wa Kumpa pesa hesabu umeumia mtaanza kutwanga kwa kupokezana ndani ya kinu kimoja michi miwili.
Aidha una pesa nyingi sana au una date vitoto vyenye njaa. Nasema hivyo kwasababu ukidate mwanamke anaejieweza na kujuelewa utampa bei gani ukishamlala ili 'afurahi'? Coz anaweza kuwa na hela zaidi yako. Ila hawa njaa kali ukimmega anategemea akale so hizo 10k,20k,50k good to go.

Btw comment yako itapata Likes nyingi.
 
Kwenye hela ndo mnasema hakuna usawa kwingine kote mnataka haki sawa, mimi nikikutongoza kama hunipendi niombe tu hela wala sitokusumbua
 
Aidha una pesa nyingi sana au una date vitoto vyenye njaa. Nasema hivyo kwasababu ukidate mwanamke anaejieweza na kujuelewa utampa bei gani ukishamlala ili 'afurahi'? Coz anaweza kuwa na hela zaidi yako. Ila hawa njaa kali ukimmega anategemea akale so hizo 10k,20k,50k good to go.

Btw comment yako itapata Likes nyingi.

Mkuu mapenzi hayachagui, masikini ama tajiiri mkiangukia kwenye mapenzi basi mtakuwa kwenye mapenzi haijalishi kipato cha mtu.

Lakini kuna wanawake wengine ukiwapa pesa hawapokei kozi wanazo wanakwambia kabisa usijali mpenzi pesa ninayo.

Sasa kwa muktadha huo inamaana hawa wanawake njaa tuwaweke kwenye dust bin si ndiyo tuwapende wenye pesa zao.

Halafu hao njaa Kali ndiyo wengi mkuu tofauti na hao hao wenye pesa zao, mapenzi ya sasa bila kunogesha na pesa hayanogi vinginevyo wengine watahudumia na utamegewa.

Usione vyaelea mkuu vimeundwa, kwa mapenzi ya sasa pesa lazima itumike.
 
Hujui unasimamia nini. Soma paragraph ya kwanza na ya mwisho.
 
No money, no Honey, pesa ina mchango mkubwa sana katika mapenzi ya kweli tukatae tukubali.

Mimi mwanamke wangu sio kwamba ananiuzia big Noo, ila kila akija kunipa shoo lazima nimpe pesa, tofauti na ninazompa siku nyingine na haombi wala nini.

Sasa wewe kisa mtoto wa kike anakupenda basi kila siku umvue tu chupi umkaze halafu aende zake kila siku????

Kuomba hawezi ila atakuwa anaumia moyoni, na hapo akimpata wa Kumpa pesa hesabu umeumia mtaanza kutwanga kwa kupokezana ndani ya kinu kimoja michi miwili.
bora umekuwa mkweli
 
Back
Top Bottom