Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,429
- 77,342
Na ikiwa hivyo lawama zote kwako.Huogopi mkuu,,, itakua zaidi ya kujuliana hali
Mimi nakuangalia tu kwa uliyoyafanya jana...
Na ikiwa hivyo lawama zote kwako.Huogopi mkuu,,, itakua zaidi ya kujuliana hali
Samehe bure mkuu [emoji2] [emoji2] usiwe na kinyongoNa ikiwa hivyo lawama zote kwako.
Mimi nakuangalia tu kwa uliyoyafanya jana...
Msiotafuta hela halafu mnawaonea wivu walio nazo.Walewale
kasoro tareheWalewale
Bosi usimuite binadamu mwenzio maskini.ushauri bila vat.Mtu ukiwa na pesa unaandamwa kweli, mala huwezi uwona ufalme wa mbinguni, mara hatuna mapenzi ya kweli! Nyinyi maskini mna nini lakin? mnajifanya wema sana nyie.
Kwani uongo Mkuu! Sio nyie jinsia Me' mliotoa Uzi hapa kuwa wanawake wasio na magari ni wachafu, sasa nani anakubali dharau kama hizo?Walewale
Huyo mmoja ktk watu bilioni 3 wakiume.Kwani uongo Mkuu! Sio nyie jinsia Me' mliotoa Uzi hapa kuwa wanawake wasio na magari ni wachafu, sasa nani anakubali dharau kama hizo?
Mwache ye ashamaliza kila kitu duniani hapaBosi usimuite binadamu mwenzio maskini.ushauri bila vat.
Kama kuna mwanamke atapita hapa na akaelewa alichomaanisha STUNTER aje pm.[/QUnani aje ili awe cheap tena
Mmhhh njoo pm, hautajuta
Eli79 naomba 10k.Tatizo siku hizi men nao wanataka kuwa na wanawake wenye pesa, hapo tatizo linakuwa kubwa zaidi.
Jamaa alisema eti hawezi date mdada asiye na pesa, coz atamsumbua sana kwa kuombaomba 10K.
Ishu sio kutafuta hela espy, Ishu ni kuchunwa na nyinyi pasipo kuwa na mapenzi ya kweli,[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] STUNTER umetuamulia kweli, ila kwanini hizi nguvu usizihamishe kuwaelimisha wenzio kutafuta pesa? Maana inaonekana hili somo limegoma kueleweka.
Pesa kwanza mengine baadae.
Sura matters pia washkaji ila isikosekane hata ya kukuhudumia ama nn Lady?Wewe Gari huna, pesa huna na hata sura huna unalalamika nn sasa?
I always know that when it comes to money that name mattersSidanganyiki
Mkuu ila ickosekane kabsa. Sawa?mapenzi upendo,uaminifu,kuheshimiana,kujaliana,pesa waachie wafipa