Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Jamani msiwafanye waache biashara itachacha bure waacheni wauze biashara zao.
 
GIRLS! Usimpe moyo wako kwa sababu anaendesha Landcruiser ya kifahari. Mpe moyo wako kwa sababu atakujali na kukuthamini kwa pendo lenye thamani ya Landcruiser!

Hakuna haja ya kufall in love na Mwanaume anayeendesha Ferrari wakati atautreat moyo wako kama Bajaji.

Ladies, do not be cheap,your heart is expensive,allow no man to handle it cheaply just because he has money unless you are a good for nothing woman. No money can buy your Love. Msipojiwekea Standards Wanaume hatutawaheshimu milele
Kuuza kitumbua ni biashara inayokua kwa kasi sana duniani kote mkuu..

Maana demand ni kubwa sana.
 
Mi nadhani mwanamke ni vyema akampenda mwanaume mwenye hela endapo tu ANATAKA KUOLEWA NA HUYO MWANAUME na fedha ninazozisemea hapa ni zile za kutosha kuendeshea familia wasilale njaa si kutaka wale wenye mabilioni benki au wenye maferrari na kama mwanamke anataka mume mwenye mabilioni basi yeye ndiyo awe chachu ya kumfanya mumewe awe na fedha nyingi (kila mwanaume aliyefanikiwa nyuma yake yupo mwanamke)
 
GIRLS! Usimpe moyo wako kwa sababu anaendesha Landcruiser ya kifahari. Mpe moyo wako kwa sababu atakujali na kukuthamini kwa pendo lenye thamani ya Landcruiser!

Hakuna haja ya kufall in love na Mwanaume anayeendesha Ferrari wakati atautreat moyo wako kama Bajaji.

Ladies, do not be cheap,your heart is expensive,allow no man to handle it cheaply just because he has money unless you are a good for nothing woman. No money can buy your Love. Msipojiwekea Standards Wanaume hatutawaheshimu milele
True
 
Back
Top Bottom