Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,793
- 1,251,530
Sababu ya hela
kumbe unakubali kaz yetu
kumbe unakubali kaz yetu
hela naona umemsahau anna enheeSababu ya hela
Nashangaa hatupi ushirikiano. Anaifanya kazi yetyu iwe ngumu wakati vitendea kazi anavyo vimekaa tu
hela naona umemsahau anna enhee
ha ha ha ha unafikr alijua kama angezid viwangoTatizo anna kazidi viwango
Mzee mwenzangu bora tu usingemwita huyu... ona sasa anavyoleta kufuru kwenye maabara yetu.ngoja nkamtafute arud huku upesi
Ndio safi watapata umbea mwingi wa mtaani
Kwa kwel huruma yetu imetuponza maana naona sasa ameshaanza kuota mapembe sjui tukaongezee mkia??Mzee mwenzangu bora tu usingemwita huyu... ona sasa anavyoleta kufuru kwenye maabara yetu.
Tumtumbue.... hafai kwenye utafiti. Tangu lini Yanga wakaishangilia Simba?? Nadhani tulikosea kwenye interviewKwa kwel huruma yetu imetuponza maana naona sasa ameshaanza kuota mapembe sjui tukaongezee mkia??
alikuja na sura ya huruma niliona atatusaidia kuoata baadhi ya majibu ila naon amejiandaa kwa revenge tuTumtumbue.... hafai kwenye utafiti. Tangu lini Yanga wakaishangilia Simba?? Nadhani tulikosea kwenye interview
Kwakweli huyu ni Delila. tusipokuwa makini atatuangamizaalikuja na sura ya huruma niliona atatusaidia kuoata baadhi ya majibu ila naon amejiandaa kwa revenge tu
Game overMIMI NINAZO NA YEYE AWE NAZO. .CASE CLOSED. .
Aisee, wanawake wa namna hiyo wapo kweli?Mambo ya kuombana pesa au kukopeshana yananikera na kunichefua kabisa. ..
Tupo tumejaa tele ..... WANAWAKE AMBAO TUKO TOGETHER!Aisee, wanawake wa namna hiyo wapo kweli?
Kuna mbwa wakali sana huko bora urudi tuNatangulia pm[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hao mbwa wanaokua wapole wakiona hela siwapendi kama nini.Kuna mbwa wakali sana huko bora urudi tu
enzi za magufuli hamna namna wacha waliwe labda ungewashauri enzi za mkwere au save huu ushauri uje uutoe mwaka 2026Mpe moyo wako kwa sababu atakujali na kukuthamini kwa pendo lenye thamani ya Landcruiser!
Tumtumbue.... hafai kwenye utafiti. Tangu lini Yanga wakaishangilia Simba?? Nadhani tulikosea kwenye interview
Mhhhhh!!! Au kisa kakuharibia ndo unajifanya hukutaka?[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Hivi wewe aliyekutuma uwashtue nani?[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] Kwanza hata hivyo sina hela siwezi kumhandle cheaply nilivyotakiwa niitreat land rover ndivyo nitakavyomtreat yeye.