Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,850
Bila hela sielewi kabisaWewe ndiyo hujaelewa somo kabisa kabisaaaaa... Watu wanakatazwa kutaka hela wewe unaziulizia!!!?
Bila hela sielewi kabisaWewe ndiyo hujaelewa somo kabisa kabisaaaaa... Watu wanakatazwa kutaka hela wewe unaziulizia!!!?
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] mimi yuleeeeeBila hela sielewi kabisa
Kaongea ukweli hasa.. Ni fundisho kubwa sana.... I wish kila msichana akipate kwa wakati muafaka anaweza badilisha kitu na akapata funzo.Angalau wewe umeuona ukweli ulipo
Una akili saanaKaongea ukweli hasa.. Ni fundisho kubwa sana.... I wish kila msichana akipate kwa wakati muafaka anaweza badilisha kitu na akapata funzo.
Kurukaruka kwa popcorn ndo kuiva kwakeTumeshtuka....
Sisi ndio tumeshikilia uchumi na madaraka, ivyo mnatuheshimu hata indirectkwan nyie tunawaheshimu???...Hee
Kama hapo nilipo sura sina sasa sijui nina skeleton?, au unazungumzia sura za kupakia poda??? Am gentleman siezi fanya huo ujinga baby...Wewe Gari huna, pesa huna na hata sura huna unalalamika nn sasa?
Brother ushauri wako watakuelewa Masingle mothers tu...Hao wengine bado muda wao!
Kama hapo nilipo sura sina sasa sijui nina skeleton?, au unazungumzia sura za kupakia poda??? Am gentleman siezi fanya huo ujinga baby...Wewe Gari huna, pesa huna na hata sura huna unalalamika nn sasa?
Yani inamaana somo halijakuingia kabisaaa...???Sidanganyiki
mbona hata miss chagga ameelewa?Waswahili wanasema unampigia mbuzi gitaa..
Bilashaka somo umelikubali pia....!!Nimelike!
GIRLS! Usimpe moyo wako kwa sababu anaendesha Landcruiser ya kifahari. Mpe moyo wako kwa sababu atakujali na kukuthamini kwa pendo lenye thamani ya Landcruiser!
Hakuna haja ya kufall in love na Mwanaume anayeendesha Ferrari wakati atautreat moyo wako kama Bajaji.
Ladies, do not be cheap,your heart is expensive,allow no man to handle it cheaply just because he has money unless you are a good for nothing woman. No money can buy your Love. Msipojiwekea Standards Wanaume hatutawaheshimu milele
Bilashaka somo umelikubali pia....!!
Tena land rover 109 ya kuwashia handle kipindi hicho tunashindwa tamka "handle" tunatamka hendeliHivi wewe aliyekutuma uwashtue nani?[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] Kwanza hata hivyo sina hela siwezi kumhandle cheaply nilivyotakiwa niitreat land rover ndivyo nitakavyomtreat yeye.