ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,272
- 129,631
Tukutane wapi nikupe 10K?Eli79 naomba 10k.
Tukutane wapi nikupe 10K?Eli79 naomba 10k.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji2]Sura matters pia washkaji ila isikosekane hata ya kukuhudumia ama nn Lady?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Tukutane wapi nikupe 10K?
Unachekaaa! Sura itakuwa ngum kukupga tafu ukikwama. Acha tu tutafute hela hakuna namna.[emoji2]
KABISAI always know that when it comes to money that name matters
Nipe location jioni tukutane, hand delivery ndio mpango mzima!![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
We nitumie tu bwana.
jje's hanichuni, bali ninahudumia, yani natimiza majukumu yangu ya msingi kama mume... Hahahah raha sana[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kuwachuna haikwepeki, lara 1 mwenyewe alijaribu hilo likamtokea puani akarudi kutoa mrejesho kuwa kwakweli kukopwa kagoma.
Wanaume wa sasa usipoomba hawajiongeziii, hivyo acha mchunwe tu na moyo usukume damu.
Ila mdogo wangu jj si hakuchuni? Lucky you.
So sad... Kichwa kikikosa akili, mwili ndo huumiaUnakuta kabinti kamekua katumwa kanafanyishwa vitu vya ajabu kisa kusujudia hela na uvivu kutojitambua. Madem wanapgwa tigo sana bàadae uzazi shida kisa million kwakweli ni ignorance ya high level. Poleni
Fact & WordGIRLS! Usimpe moyo wako kwa sababu anaendesha Landcruiser ya kifahari. Mpe moyo wako kwa sababu atakujali na kukuthamini kwa pendo lenye thamani ya Landcruiser.
Hakuna haja ya kufall in love na mwanaume anayeendesha Ferrari wakati atautreat moyo wako kama Bajaji.
Ladies, do not be cheap, your heart is expensive, allow no man to handle it cheaply just because he has money unless you are a good for nothing woman. No money can buy your Love. Msipojiwekea standards wanaume hatutawaheshimu milele.
Hahaha,sikuwezi!.vipi ela ikawepo alafu jamaa mbovu kwenye nanii?[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] STUNTER umetuamulia kweli, ila kwanini hizi nguvu usizihamishe kuwaelimisha wenzio kutafuta pesa? Maana inaonekana hili somo limegoma kueleweka.
Pesa kwanza mengine baadae.
Jamani kwani ukituma haifiki? Nipo huku nanjilinji[emoji85] [emoji85]Nipe location jioni tukutane, hand delivery ndio mpango mzima!!
Pesa tu hayo mengine ziada tu.Hahaha,sikuwezi!.vipi ela ikawepo alafu jamaa mbovu kwenye nanii?
Sasa na mimi nataka nikupe pesa alafu wewe unipe ka moyo kako.Pesa tu hayo mengine ziada tu.
Umenena vyema: "....mmeshika uchumi na madaraka...". Asiye na uchumi wala madaraka hata hawamiaji haramu hawaendi kwake. Uchumi na madaraka kiwe ni kigezo ila kisiwe kikuu na pekee.Sisi ndio tumeshikilia uchumi na madaraka, ivyo mnatuheshimu hata indirect
Upo tayari kuvumiliana kwa shida na raha? Hata ukinywa Chai kwa vipande vya barafu?Niko standard n am gud for something. Tumekuelewa
Sasa mimi nasema kisiwe kigezo,,, sio kilamtu anastahili kushika madaraka the same kwa uchumi, maisha ni kusaidiana, sio utegemezi wa pande mojaUmenena vyema: "....mmeshika uchumi na madaraka...". Asiye na uchumi wala madaraka hata hawamiaji haramu hawaendi kwake. Uchumi na madaraka kiwe ni kigezo ila kisiwe kikuu na pekee.