[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] maswali yote pmMhhhhh!!! Au kisa kakuharibia ndo unajifanya hukutaka?[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Kumbe hadi me wakupm [emoji30] [emoji30] [emoji30][emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] maswali yote pm
Naona kama siku haziendi vile natamani nirudi Tz niwachore wale mademu walokuwa wananivimbishia... Hahahha....enzi za magufuli hamna namna wacha waliwe labda ungewashauri enzi za mkwere au save huu ushauri uje uutoe mwaka 2026
Naruhusiwa kuleta posa?Tupo tumejaa tele ..... WANAWAKE AMBAO TUKO TOGETHER!
Uwiano haupo sawa, mpaka muanze kujifunza kutafuta zenu ndio angalau tutawaelewaKila shetani na mbuyu wake, kwan hao wanaoendesha Ferrari hawastahili kupendwa?
Au tukiwapenda tujizuie kisa wana pay?????
Kila mtu akae moyo ulipotua bana.
Hapo sasa. ...CV yako imeekaaje. .maana hamna kukopa pesa au kuomba pesa. ..uwe mfanya biashara mzuri au kazi nzuri, Hiyo ndiyo pre qualification..Naruhusiwa kuleta posa?
Sasa mbona tunatishana tena?Hapo sasa. ...CV yako imeekaaje. .maana hamna kukopa pesa au kuomba pesa. ..uwe mfanya biashara mzuri au kazi nzuri, Hiyo ndiyo pre qualification..
Kazi kwako mkuu. ..wako wengi sana.
Bora huyo Real girl ambaye hayuko perfect, kuliko nungayembe ambalo haliko real
Umeniuliza swali nimekujibu. ..deep seas hizo. ..kama diver mzuri. .Sasa mbona tunatishana tena?
Sasa kama kilamtu na hela zake hamnakuombana, hata kama naingiza jero kwa siku, na inanitosha shida ipo wapi???Umeniuliza swali nimekujibu. ..deep seas hizo. ..kama diver mzuri. .
Haya tena. ..
Walewalemoney cant buy happiness, ila ni bora kulia ndani ya range unakua comfortable
WalewaleHakika, kuna heshma yake kulia ndani ya Vogue bwana [emoji2] [emoji2] [emoji2]
WalewaleKila shetani na mbuyu wake, kwan hao wanaoendesha Ferrari hawastahili kupendwa?
Au tukiwapenda tujizuie kisa wana pay?????
Kila mtu akae moyo ulipotua bana.
Hata me, tutajuliana hali kila asubuhiKumbe hadi me wakupm [emoji30] [emoji30] [emoji30]
Huogopi mkuu,,, itakua zaidi ya kujuliana haliHata me, tutajuliana hali kila asubuhi