Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

"Bora kulilia Dubai kuliko kulilia karioo"
Hahahaa... Aisee kwahiyo upo radhi hata uchomwe na pasi ya uso kisa upo Dubai?? Kwani kipi hasa mnachokihitaji? Ujue mnashindwa kutofautisha vitu ndomana
 
Mambo ya kuombana pesa au kukopeshana yananikera na kunichefua kabisa. ..
 
9ac7e195cc8cada103f7912b7882f2d0.jpg
 
Tatizo siku hizi men nao wanataka kuwa na wanawake wenye pesa, hapo tatizo linakuwa kubwa zaidi.

Jamaa alisema eti hawezi date mdada asiye na pesa, coz atamsumbua sana kwa kuombaomba 10K.
 
Back
Top Bottom