Utatoka na nani wa JF?

Utatoka na nani wa JF?

Hivi mdogo wangu kwani ulimkosea nini Mungu kikubwa hivyo hadi ukakutana na hili jinamizi National Anthem a.k.a community property🙆🙆🙆
Sielewi hata dada yangu nahis ameniloga maana kuna siku alisafiri akaenda sumbawanga akarudi na dawa za kufukiza kwnye kachumba ketu kamoja😥
 
Hapa Mimi nakosa wa kutoka nae ukizingatia wote wa walioko hapa ni wahitim wa vyuo vikuu tofauti.

Jamani nioneini huruma mtoto wa mwanamke mwenzenu, japo ni Vll E , passport ninayo na kanauli kakuvuka mpaka 1 TU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeandika kwa uchungu sana mkuu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom