Utatoka na nani wa JF?

Utatoka na nani wa JF?

Mie natoka na mademu wanne hapa JF ila hawajuani mmoja ni mke wa afande, mwingine ni mwanachuo halafu wawili ni single mothers tena mmojawapo kazaa na mzungu
NB: wote hawa niliwapata kwa kutumia ID yangu nyingine tofauti na hii maana huwa nikitumia Id hii mademu wa Jf wananitosa kisa nauzaga majeneza ila nikitumia ile Id fake ambayo napendaga kuongelea maada za magari ya bei na safari za nje ya nchi huwa warembo wa humu wanaingia mkenge maana wengi wao wana tamaa halafu hata tukionana akaniona muonekano wangu (bonge japo sio kama Peter Msechu) hawa warembo wanaamini mie ni mfanyabiashara mkubwa wa magari hawajui kama ndo yule muuza majeneza na sanda wa hapa Dodoma
Tupe uzoefu, utatoka nao vipi wote kwa wakati mmoja?
 
Back
Top Bottom