Utatoka na nani wa JF?

Utatoka na nani wa JF?

Ooooh!! Basi atakuwa mpya huyu. Kwahiyo amadala umetoka kumsindikiza ukaruri na pau!!!🙆🙆🙆🙆

Kazi ipo

Mkuu nitakuripoti!!!
Mripoti tu hata mie unaloo bibie umekuwa hamisa kila mahali umo Kama picha za tigo pesa hukosekani mtaa mzima upooo dah kalale Leo haji yupo Kwa zuchu anapewa vitamu zuchuu babe
 
Back
Top Bottom