Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,273
- 96,400
Huyo aliyeniwahi nampa Pole. Maana kwako sina ujanja...Nimeambiwa wameshakuwahi![]()
Sasa uvae naniliu ya pink kabisa....
Huyo aliyeniwahi nampa Pole. Maana kwako sina ujanja...Nimeambiwa wameshakuwahi![]()
🤣🤣🤣🤣🤣🤣👏👏👏 safi kabisa, mwanamke unatakiwa uwe na msimamo kama huo wako sio unapangwa kama behewa za SGR we upo tuu 😅😅😅😅
Ibilisi na nusu National Anthem🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Shetani kama shetani.
😃😃😃 Usimpoteze mtoto mzuri anatakiwa apate watu smart kama ...... 😅😅😅 we hapo umewapangaPau Bae ni mwanamke mwenye akili anakuchora tu ulivyo phalla🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mripoti tu hata mie unaloo bibie umekuwa hamisa kila mahali umo Kama picha za tigo pesa hukosekani mtaa mzima upooo dah kalale Leo haji yupo Kwa zuchu anapewa vitamu zuchuu babe
Kwani hili shindikana uliliokota wapi!!Unahangaika huko afu ukishindwa unarudi😒
Sawa babu. Nashukuru kwa kukubali ombi languHuyo aliyeniwahi nampa Pole. Maana kwako sina ujanja...
Sasa uvae naniliu ya pink kabisa....
Sasa usichelewe wezi wasije wakakuibaSawa babu. Nashukuru kwa kukubali ombi langu
Wee andaa chupa dada vita ni kali sana🤣🤣Sawa babu. Nashukuru kwa kukubali ombi langu
Hivi mdogo wangu kwani ulimkosea nini Mungu kikubwa hivyo hadi ukakutana na hili jinamizi National Anthem a.k.a community property🙆🙆🙆😆😆😆😆dada yangu