mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 20,455
- 36,449
Nam; mwaka unaisha huu, utakuwa wapi?
Wacha tuu
2022 imenitupa huku bara Asia hata dalili ya xmass haipo
Nam; mwaka unaisha huu, utakuwa wapi?
Wacha tuu
2022 imenitupa huku bara Asia hata dalili ya xmass haipo
US, NATO, Ukraine, Urusi wapo vitani; mioyo ya watu ina majonzi na haina furaha.
Afrika mashariki, uhaba wa nafaka n.k ; yote haya yanafanya mwaka huu kutokuwa na shamra shamra.
Haya mapambano yataisha lini?Maisha ni mpambano
When you RIPHaya mapambano yataisha lini?
Haya mapambano yataisha lini?
I am here honey
Hujambo....I am here honey
wanawake wanahaki ya kukupendaKupunguza hamu.Kipozeo ndio nini?
Nilijua tu siwezi teseka wakati asali wangu upoI am here honey
Nyani ngabuOnly one G