Sikujua kumbe mimi ndugu yako....Wewe mwenyewe shetani🤣🤣🤣
Hiyo tabia umeanza lini?Njoo unibembeleze tulale
Hivi hii filamu tuipe jina gani?Hivi mdogo wangu kwani ulimkosea nini Mungu kikubwa hivyo hadi ukakutana na hili jinamizi National Anthem a.k.a community property🙆🙆🙆
Ananishawishi mzee🤣Hiyo tabia umeanza lini?
Hebu tukutane Tx au Twooinone tumalize tofauti zetu🤣Hiyo tabia umeanza lini?
Na kodi ya miezi 6 tutawapa🤣Na zawadi tutampa🤣🤣
Nitawahi mapemaSasa usichelewe wezi wasije wakakuiba
Mwenye kisu kikali atakula nyamaWee andaa chupa dada vita ni kali sana![]()
Wewe pambania kombe tu dada huenda amesusa wewe kula😍🤣
Chain au mnyororo🤣🤣🤣Hivi hii filamu tuipe jina gani?
Usaliti au?
Kabisaaaa, na mji wahame.Na kodi ya miezi 6 tutawapa🤣
Achana na mimi😂😂😂😂Hivi humu yamefika mazee mangapi?🤣🤣🤣