Utatoka na nani wa JF?

Utatoka na nani wa JF?

Hovyooo!
Acha kuwachezea watoto wa wenyewe.
Kama kuna yupo amewahi kukutana nami humu anyooshe kidole nimeruhusu.

Mimi mdomo unaniponza.
Pili hata tukionana laivu sijui kutongoza.
Ni jasiri nyuma ya keyboard tu🤣🤣
 
Nasubiri kutajwa huku nikiwasiliana na mwanasheria wangu kwanza 😂😂😂😂
 
Anaye taka kutoka na mimi Aje PM
mi ni jinsia ya Kiume
KARIBUNI
 
Back
Top Bottom