kajekudya
JF-Expert Member
- Sep 24, 2015
- 2,560
- 5,164
Naye ni wa humu humuWa huku hawana makuu
Naye ni wa humu humuWa huku hawana makuu
Chaguo la pili muhimuNaye ni wa humu humu
Ni wivu unakusumbuaKheeee mim sitamani kabisa kabisa kabisa.

😂😂😂😂😂😂 uchovu wa aje bidada?
Skylar ni PhD holder wa ukweli, mfanyabiashara mwenye miradi yake, yuko determined apige mizinga ya nini?Hapigi mizinga kweli
Utatuletea mrejesho
Hawanaga Aibu Mpwa, tutakomenti tu Tena Kwa ujasiri kama Wana CCM wakitetea rushwaWenye zaidi ya mmoja watacomment kweli?
Wanakuja kukupa majibuHivi watu wa huku mnafamianaje eti?
@ShunieMnavyojua tena mwisho wa mwaka, huwa kuna mambo mengi; ata kama ni bahili sana, itabidi kujichanga changa hata kidogo, angalau nawe uweze kusherehekea pale panapo wezekana.
Na sherehe inafana zaidi, pale unapokuwa na kampani au mwenza wako wa karibu.
Kwa upande wangu, mi nitatoka na huyu mdada mrembo matata yumo humu, mwenye sifa zifuatazo; ni mrefu wa wastani, umbo namba nane, mguu wa bia, weupe wa wastani, ana nywele ndefu, aombi sana ela, anaongea kwa staa, na anajua kushukuru hata kwa kile kidogo.
Kwa hisani ya huyo mrembo, atawapungia mkono popote pale ulipo.
Je wewe, utatoka na nani?
Mchovu ni mtu asiye na hela😂😂😂😂😂😂 uchovu wa aje bidada?
Jiandae twenzetu hata hapo Kikuletwa hot spring 💃
Chips yai na fanta baridi sitoshindwa kukununulia 💃

Na kwanini utoke na mme wa mtu?Nitatoka na mume wa mtu hivyo simtaji sema asha jijua![]()
@Iyola99 wangu!Mnavyojua tena mwisho wa mwaka, huwa kuna mambo mengi; ata kama ni bahili sana, itabidi kujichanga changa hata kidogo, angalau nawe uweze kusherehekea pale panapo wezekana.
Na sherehe inafana zaidi, pale unapokuwa na kampani au mwenza wako wa karibu.
Kwa upande wangu, mi nitatoka na huyu mdada mrembo matata yumo humu, mwenye sifa zifuatazo; ni mrefu wa wastani, umbo namba nane, mguu wa bia, weupe wa wastani, ana nywele ndefu, aombi sana ela, anaongea kwa staa, na anajua kushukuru hata kwa kile kidogo.
Kwa hisani ya huyo mrembo, atawapungia mkono popote pale ulipo.
Je wewe, utatoka na nani?
Atakuwa amekusikia