Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 21,708
- 51,122
Mimi tena mrejesho?😂😂😂😂nitake radhiItabidi utupe mrejesho kwa kile kitakachotokea
Mimi tena mrejesho?😂😂😂😂nitake radhiItabidi utupe mrejesho kwa kile kitakachotokea
Mie natoka na mademu wanne hapa JF ila hawajuani mmoja ni mke wa afande, mwingine ni mwanachuo halafu wawili ni single mothers tena mmojawapo kazaa na mzunguMnavyojua tena mwisho wa mwaka, huwa kuna mambo mengi; ata kama ni bahili sana, itabidi kujichanga changa hata kidogo, angalau nawe uweze kusherehekea pale panapo wezekana.
Na sherehe inafana zaidi, pale unapokuwa na kampani au mwenza wako wa karibu.
Kwa upande wangu, mi nitatoka na huyu mdada mrembo matata yumo humu, mwenye sifa zifuatazo; ni mrefu wa wastani, umbo namba nane, mguu wa bia, weupe wa wastani, ana nywele ndefu, aombi sana ela, anaongea kwa staa, na anajua kushukuru hata kwa kile kidogo.
Kwa hisani ya huyo mrembo, atawapungia mkono popote pale ulipo.
Je wewe, utatoka na nani?
Embu mtaje maana ushanchanganyia mambo. Hayo masifa uliyoyasema yanafanana na nnayetaka kutoka nayeMnavyojua tena mwisho wa mwaka, huwa kuna mambo mengi; ata kama ni bahili sana, itabidi kujichanga changa hata kidogo, angalau nawe uweze kusherehekea pale panapo wezekana.
Na sherehe inafana zaidi, pale unapokuwa na kampani au mwenza wako wa karibu.
Kwa upande wangu, mi nitatoka na huyu mdada mrembo matata yumo humu, mwenye sifa zifuatazo; ni mrefu wa wastani, umbo namba nane, mguu wa bia, weupe wa wastani, ana nywele ndefu, aombi sana ela, anaongea kwa staa, na anajua kushukuru hata kwa kile kidogo.
Kwa hisani ya huyo mrembo, atawapungia mkono popote pale ulipo.
Je wewe, utatoka na nani?
skylerMnavyojua tena mwisho wa mwaka, huwa kuna mambo mengi; ata kama ni bahili sana, itabidi kujichanga changa hata kidogo, angalau nawe uweze kusherehekea pale panapo wezekana.
Na sherehe inafana zaidi, pale unapokuwa na kampani au mwenza wako wa karibu.
Kwa upande wangu, mi nitatoka na huyu mdada mrembo matata yumo humu, mwenye sifa zifuatazo; ni mrefu wa wastani, umbo namba nane, mguu wa bia, weupe wa wastani, ana nywele ndefu, aombi sana ela, anaongea kwa staa, na anajua kushukuru hata kwa kile kidogo.
Kwa hisani ya huyo mrembo, atawapungia mkono popote pale ulipo.
Je wewe, utatoka na nani?
Itabidi nitoke na naniliuSijaelewa je wewe unatoka nani??
Na Mungu akipenda watoto watakuwa timu September wenzangu
Watoto wenu mpandaji mbegu ndio nani sasa au nanii yule?Na Mungu akipenda watoto watakuwa timu September wenzangu
Mimi nimezaliwa September Mkuu,ayo mengine sijuiWatoto wenu mpandaji mbegu ndio nani sasa au nanii yule?
Wewe naona hutaki mimi nipate tulizo la moyo jf
Basi sawa kumbe umezaliwa mwezi huo mkuu tumepishana mmoja.Mimi nimezaliwa September Mkuu,ayo mengine sijui
Hawawezi comment.Wenye zaidi ya mmoja watacomment kweli?
Yupo njiani anakujaYeye
Huko aliko anakusikiaNitatoka na kemilembe jofrey
Anaitwa...Mbona umeishia kumsifia badala ya kumtaja? Unatoka na nani? Mtaje jina.
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Utakuwa mwenyekiti wa kamati
Mim sina mchumba sina, sina kipozeo, sina kishikwambi nipo kama sipo hapa ndani.