Utatoka na nani wa JF?

Utatoka na nani wa JF?

Mnavyojua tena mwisho wa mwaka, huwa kuna mambo mengi; ata kama ni bahili sana, itabidi kujichanga changa hata kidogo, angalau nawe uweze kusherehekea pale panapo wezekana.

Na sherehe inafana zaidi, pale unapokuwa na kampani au mwenza wako wa karibu.

Kwa upande wangu, mi nitatoka na huyu mdada mrembo matata yumo humu, mwenye sifa zifuatazo; ni mrefu wa wastani, umbo namba nane, mguu wa bia, weupe wa wastani, ana nywele ndefu, aombi sana ela, anaongea kwa staa, na anajua kushukuru hata kwa kile kidogo.

Kwa hisani ya huyo mrembo, atawapungia mkono popote pale ulipo.

Je wewe, utatoka na nani?

Wakati ukiwa unajishauri, pata kiburudisho:-
Mimi nilizani unatoka na super star
 
Sielewi hata dada yangu nahis ameniloga maana kuna siku alisafiri akaenda sumbawanga akarudi na dawa za kufukiza kwnye kachumba ketu kamoja😥
Aaah!! Hizo alikutishia tu, maana anaachwa kila siku kwa kugonganisha. Aliniambia atakaempata atamtishia ulozi ili aogope kumuacha. Ila hakuna lolote.
 
Back
Top Bottom