Utata kigogo UVCCM - akutwa amekufa hotelini Arusha

Utata kigogo UVCCM - akutwa amekufa hotelini Arusha

Hawa wanawake hawana makosa wasihangaishwe kwani dawa ya usingizi ya mshkaji
 
Hii habari inanipa ugumu kidogo kutoa Rip,source mwananchi!!la lini? Wakati shigella alipokuwa katibu wa uvccm?mh mh mh ngoja kwanza nijilazimishe kuiamini

Kwani sasa hivi katibu wa uvccm taifa ni nani kama sio huyo shigela? in maana magamba hamfahamiani!!?
 
Ni kifo cha kusikitisha sana.............................. huyo mwanamke Mariam akipatikana ataelezea vizuri kama alitumwa kumwua kisiasa ama kibiashara, ama kimapenzi au vyote kwa pamoja.
R.I.P. Benson

Kwani maccm yameshaanza kutoana roho!? manake kwa upande wa CDM arusha huyu alikuwa hana threat yoyote, labda huko kwenye gambaz mambo ya kufukuzia uteuzi 2015
 
Huyo mwanamke ambaye alikuwa anamsubiria Kwenye chumba cha Hoteli ni mke wake, Hawara Kimada ama ni mtoto wa kike tu kamdanganya huko sa Mziki ukamshinda?
Maana hawa CHICHIEMU wazezid kutuharibia dada zetu sasa vinawatokea Puani, (munakumbuka yule alishikwa ugoni Moro?)

Na yule wa igunga mmeshamsahahu?
 
Utata (rejea kichwa cha habari) unatoka wapi tena, wakati imeshajulikana kuwa marehemu aliingia na madem tofauti (majina yametajwa) kwa nyakati tofauti kwenye nyumba ya wageni wakati yeye ni mwenyeji?
 
this are problems of many play boys they think viagra is a passport to your sexul activities . Read here
articles.timesofindia.indiatimes.com > Home >
Collections > Side Effects
 
Kwani maccm yameshaanza kutoana roho!? manake kwa upande wa CDM arusha huyu alikuwa hana threat yoyote, labda huko kwenye gambaz mambo ya kufukuzia uteuzi 2015
Kwa hiyo wenye threat kwenu mnawatanguliza mbele ya haki?
 
Huyo mwanamke ambaye alikuwa anamsubiria Kwenye chumba cha Hoteli ni mke wake, Hawara Kimada ama ni mtoto wa kike tu kamdanganya huko sa Mziki ukamshinda?
Maana hawa CHICHIEMU wazezid kutuharibia dada zetu sasa vinawatokea Puani, (munakumbuka yule alishikwa ugoni Moro?)
Kule Morogoro ni naibu waziri flani wa madhahabu wakati huo, yeye hakushikwa ugoni bali alipunwa kila kitu na malaya wa Morogoro akamuachia gobole tu kwakuwa yeye malaya hakuwa na kazi nalo kwa wakati huo.

Aliyekamatwa ugoni ni kule Ziba, Igunga kwenye kampeni zao za nyumba kwa nyumba. Halafu mshikwa ugoni nasikia kaenda kujiunga na JKT muda huu. Sasa sijui anataka ukakamavu wa kuwakabili mwenyewe wanaomfumania, mimi sijui!
 
poleni jamaa na ndugu za marehemu .Ni wajibu wakila mmoja wetu kuelewa kuwa dhambi ikikomaa huzaa mauti..mshahara wa dhambi ni mauti.... na ushauri wa bure kwa sisi wote ambao tu hai ni heri wafu wakufao katika BWANA
 
Hivi hiyo kitu bado ipo? Tangia imtangulize Abacha mbele za haki naiogopa kama ukoma!

Marehemu atakuwa alizidiwa tu na kama alipiga game mbili na team tofauti kwa speed mpya inawezekana excessive faique ikamuondoa.

Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi.

Sisi tuliobaki tuandae majibu ya kujibu siku kwa mungu siku pumzi inakatika manake huwezi kujua siku wala saa.
 
kuna siku nilikunywa viagra -- aisee roho ilikuwa inanitoka live tena sikuwa na msaada wowote -- nimeshakoma sirudii tena.
 
Pole zao pamoja na familia. Ila mazingira ya utata sana

ni ngumu kusema alikuwa hafanyi uzinzi na ni ngumu pia kusema alikuwa anafanya uzinzi, ila swala la uzinzi nalipa nafasi kubwa sana kuliko kusema ni maswala ya biashara.

All in all "bwana alimleta duniani kwa mapenzi yake na pia amemchukua kwa mapenzi yake'' wote tupo safarini. Upumzike kwa amani Ben.
 
tusimnyooshee kidole. tujiangaliae na sisi,

wengine tuna ahadi ya kugegeda leo jion, yasije yakatukuta.
 
Back
Top Bottom