Utapiga kura mwaka huu?

Utapiga kura mwaka huu?

Niliwahi kupiga kura mwaka 2005, kwenye historia ya maisha yangu.
Na nimeapa sintapiga kura tena, sio kwaajili ya CDM haitaki uchaguzi mpaka mabadiliko ya katiba, bali ni msimamo wangu tu, toka moyoni.

Binafs uchaguzi barani Afrika umegubikwa na maigizo tu.
Ifike wakati pesa tunazo poteza kwenye maigizo hayo ni kheri tungezipeleka kwenye miradi ya maendeleo.
 
img_1_1744462656922.jpg


Mwenyekiti wa Tume huru ya uchaguzi anawatakia usiku mwema.
 
Huu uzi ungefaa kuwekewa poll hapo juu watu wapige kura kama watapiga kura.

Au inaweza kuwa issue kwenye zile sheria zetu za kinoko za kufanya opinion poll?
unataka kuwaponza jamiiforums?!..
 
Nitawapigia kula chadema Kama hawapo sipigi kula
 
Washawishi machawa na ndugu zako. I can't waste my time voting while my vote is invariably not appreciated and hounered. Ni ujinga tu...
me sijakwambia ww ntakushawishi mbona unawashwa sn we kama hupig si bhas acha
 
Kura ya nini wakati mshindi tunamjuq wa uchaguzi wa 2025, 2030, 2035, 2040, 2050. Labda 2060 kama wajuu wetu wataamua kukiwasha na kufanya maamuzi ambayo sisi tunaogopa
 
Back
Top Bottom