Utapiga kura mwaka huu?

Utapiga kura mwaka huu?

Siku hizi hata ukimuuliza mtu yeyote mtaani atakwambia hana huo muda............................................................. Nenda kijiwe chochote uulize
 
Tena mimi na Familia yangu yote tutakuwa wa mwanzo kwenye kituo,Siwezi kuacha kupiga kura kwa sababu zisizo na msingi.
 
Kwa maficcm wa Lumumba Street ni sawa. Wewe piga kura yako itahesabiwa ni CCM lakn hata wasio CCM bado kura zao zitahesabiwa ni za CCM..............UCHAFUZI kwenda mbele!!
Ahahahahaha, mkuu kwa mantiki hyo ata ambao hatutapiga bado zitahesabika zimepigwa kwa CCM au?
 
Akuna aliyejitokeza kujiandikisha maeneo mengi wamechukua majina ya waliojiandikisha uko mwaka wa 2015 ndo yapo vituoni
 
Yaani nikapange foleni ili kumpa ulaji fisadi la kijani! Never
 
Msimamo wangu.
Screenshot_20250601-070306.jpg
 
kama Mama atasimama pekee yake ,na mchakato wa CCM hakuwa wazi ,SITOPIGA KURA ,Mkwe wake akipiga inatosha
 
Hii ni hakika mkuu?
Subiri uone!!

Uelewa wangu!!

Miaka miwili ya kusimamia reforms ambapo bunge la katiba litaitishwa rasmi!!

Baada ya katiba kupatikana ndio uchaguzi utafanyika,Dola haiwezi ingia kwenye uchaguzi bila reforms kufanyika ili ajaye asiharibu!!

Hiyo ni hakika,atakae simamia hizo reforms sio huyu mtia nia,ni mwingine anasubiri kushika!!
 
Back
Top Bottom