Kama CHADEMA haipo kwenye Ballot paper ujue uchaguzi haupo. Kwa hiyo kwenda kupiga kura ni sawa kabisa na kupoteza muda wako.
Huwezi kwenda kupiga kura kwenye uchaguzi ambao hauna mizani.
Kwenda kupiga kura katika mazingira hayo ni kwenda kuhalalisha UDHALIMU katika Nchi yetu.