Utapiga kura mwaka huu?

Utapiga kura mwaka huu?

Je umeisha wahi jiuliza kwa nini watu wanaiba kura,
Wanaua,wanateka, wana wapa wengine kesi,
Wana kandamiza wengine kupitia sheria, taratibu, nguvu za jeshi na taasisi?
Je wanafanya haya yote kupigania maendeleo yako mwananchi?.
 

Attachments

  • KURA.jpg
    KURA.jpg
    198.1 KB · Views: 13
Huwa Tz hamna uchaguzi picha linaanza waliojiandikisha hawafiki 20% ya population yote.
Kura sipigi NG'OO
 
Hiyo siku naamka saa 5 asbh nachukua familia yangu tunakwenda kula bata ufukweni - labda na fukwe zote na bar wazipige marufuku siku hiyo.
 
me ntapiga na ntashawishi watu wangu wa karibu waweze kupiga pia
Washawishi machawa na ndugu zako. I can't waste my time voting while my vote is invariably not appreciated and hounered. Ni ujinga tu...
 
Back
Top Bottom