Utapiga kura mwaka huu?

Utapiga kura mwaka huu?

Tuambizane Binafsi sitapiga kura
1751777690711.jpeg
 
Sina kitambulisho kwa hio sitopiga kura
 
Anonymous people at their Best,,,UKIPITA SOCIAL MEDIA Unaweza kuzani Tanzania Kuna nchi mbili ,make mawazo ya Raia social media na huku KITAA live ni mbingu na Ardhi
 
Kama nlkuwa namkubali jiwe na sikuwahi kupiga kura itakuwa mwaka huu?
Ili iweje?
Ili nigundue nini?
Uliskia wapii?
 
Back
Top Bottom