Think2
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 3,077
- 6,010
Maandamano yetu yawe ya amani hatupigi kura hadi reform zifanyike sasakm tume ni yao, majaji ni wao unategemea watashindwa ??
Tayari NIDA wamepewa magari 140 ya nini?? ili yasafirishe nini? Kwanini wapewe wakati huu wakufanya uchaguzi?
Njia nzuri na ya amani nikutokwenda kuwachagua ili wajipigie kura wao huko.
Hizi fedha zinazomwagika wakati huu wa uchaguzi akipita tena aseee mtajuta