HATUCHEZITuambizane Binafsi sitapiga kura
ni muhimu sana wananchi wenye sifa na vigezo stahiki vya kikatiba, kushiriki uchaguzi mkuu wa October mwaka huu kikamilfu bila kukosa. Ni jambo la maana sana hilo 🐒Tuambizane Binafsi sitapiga kura
Hebu anza kushawishi tuoneme ntapiga na ntashawishi watu wangu wa karibu waweze kupiga pia
YeahKama hakuna CHADEMA hakuna Kupiga KURA, NA SIO OMBI NI LAZIMA.