Utani wa makabila! Tupia wako

Utani wa makabila! Tupia wako

inakujaThamaki
39dbd1f8c70ced4cdf345f90465d968b.jpg
a974b2bd721b802ab5361ab3bb5aa3e3.jpg
Grilled-Fish-Indian-Recipe-V5.jpg
hao ulioweka sio samaki
 
Sio kweli,kiongozi.Kukaza haijawahi kuwa tusi Tanga.
Kiongozi, unasikia mtu anakwambia kuwa (ashukumu si matusi), nitakukaza, leo nataka kukaza. Nimeishi tanga for 27 yrs hivyo nasema ninachokijua fika. Najua kuna kusema Mkaza mwana-hili siyo tusi ni namna ya kum address mkwe wako, correct kabisa. But upande mwingine wanasema unamtusi mtu hasa mwanamke kuwa "nitakukaza"... kama kuna kutoelewana... ni derogatory word anyway when used in that sense! I stand to be corrected!
 
Vipi kuhusu "nakufili kumoyo ya wanyamwezi?" Sio tusi?[emoji12]
 
Nyamwezi sijawahi fika, sijui. Ngoja waje. Ila unaweza ukaona ... fili... ukiondoa "i" mwsho ukaweka "a", then mabo yanabadirika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom