Utani wa makabila! Tupia wako

Utani wa makabila! Tupia wako

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
375,512
Reaction score
870,042
IMG-20170920-WA0052.jpg
 
Watani zangu wapare nasikia wanakula ugali kwa picha ya Samaki hahaaha

cc; NAHUJA
Hahahaha hawa watani zetu, wako tayari wauze hata shamba ili mradi ndani kusikosekane mahindi ya kande[emoji12]
Ila mimi nawakubali sana watani zangu kwenye kesi, yuko tayari kuuza ng'ombe kwenye kesi ya kuku[emoji40] [emoji125]
 
Back
Top Bottom