Hata Tanga kukaza ni tusi , vile vile mfano mkaza mwana means mke wa mwana??? kitu kama hichoHapana labda kwa kizaramo
Niliposema utani wa makabila si kumaanisha mtusakameView attachment 592248
Pale A.T.M mashine ilipofika huko upareni
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji35] [emoji35] [emoji35] shurbermeet
Niliposema utani wa makabila si kumaanisha mtusakame
[emoji4] [emoji4]Niliposema utani wa makabila si kumaanisha mtusakame
hehehehehehehhehheh uwii !jaman !hv hata chai mnakunywaga kweli nyie wapare? jaman kuna baba mpare toka nakua anavaa trauza ile ile khaaa !ubahili huo vip jaman
Kama wewe sio Mchaga sijui....!? [emoji124] [emoji124] [emoji124]q
wi qwi qwi sina ham na wapare mie jaman jhapana jaman handsup!
Kama wewe sio Mchaga sijui....!? [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Hahahaha siku ya kwanza kusikia hili neno nilibaki nashangaaMke wa mjomba wabondei wanamuita mkaza mjomba
Hahaha tena matusi ya wazi kabisa yani!Hata Tanga kukaza ni tusi , vile vile mfano mkaza mwana means mke wa mwana??? kitu kama hicho
Hahaha una utani na raisi wako mkuu!Msukuma anaweza kuwa kiumbe anayeongoza kwa ukataji miti duniani, mahali walipo wasukuma basi miti ipo mashakani.
Wapogoro walipanda visoda ili iote soda!Nasikia watani zangu wagogo waliwahi kupanda pipi na sukari kwamba ikiota wapate nyingi