KIMIYAKIMIYA
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 244
- 322
Mzungu aliingia petrol station maeneo ya boma kuweka mafuta akaona atumie wasaa huo kuingia msalani,akamuuliza mchaga where is washroom? mchaga akajibu hatuoshi magari, wachaga buana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji116] [emoji115] [emoji116] [emoji115]Mzungu aliingia petrol station maeneo ya boma kuweka mafuta akaona atumie wasaa huo kuingia msalani,akamuuliza mchaga where is washroom? mchaga akajibu hatuoshi magari, wachaga buana.
Kuna kabila linaitwa wasonjo wapo huko Loliondo... Majina yao sasa....... Utasikia Kishindo, Mashindano, Msimamo, Tukio, Sambamba...... Kanyumba, Namama,...... Ni nomino ambazo hapohapo ni vivumishi
Nimecheka Sana Aithee
Anakua ''anamkaza'' nini sasas na nyie!??dahMke wa mjomba wabondei wanamuita 'mkaza mjomba'.