Utani wa makabila! Tupia wako

Utani wa makabila! Tupia wako

[emoji144] [emoji144] [emoji144] ndio maana Uchagani hakuna bendi ya mziki... Kila mtu anataka kuwa cashier
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umesahau mkuu, tuna bendi inaitwa Mtingo. Au umesahau ndio bendi iliyotumbuiza Upareni kwenye mkutano wa siasa mlivyokua wafupi tukafikiri watoto tukawatuma mkalete wazazi wenu mkajibu "THITHI THITHI NDO BABA DHAO NA NDO MAMA DHAO" [emoji12] [emoji125]
 
Tunataka picha mkuu
201162316310_grilled+fish.jpg
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umesahau mkuu, tuna bendi inaitwa Mtingo. Au umesahau ndio bendi iliyotumbuiza Upareni kwenye mkutano wa siasa mlivyokua wafupi tukafikiri watoto tukawatuma mkalete wazazi wenu mkajibu "THITHI THITHI NDO BABA DHAO NA NDO MAMA DHAO" [emoji12] [emoji125]
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom