Utani wa makabila! Tupia wako

Utani wa makabila! Tupia wako

Hahahaha hawa watani zetu, wako tayari wauze hata shamba ili mradi ndani kusikosekane mahindi ya kande[emoji12]
Ila mimi nawakubali sana watani zangu kwenye kesi, yuko tayari kuuza ng'ombe kwenye kesi ya kuku[emoji40] [emoji125]
Na kushinda kwakwe ni π,
Tunao uwezo wa kufunga mpaka TAML.
 
In haha tribe nobody goes horny,
They have killed it almost every godamn hour.
 
Bahati nzuri hakuna mtani wangu humu
 
Naskia wanawake/wake wa kichagga ukishapata tu mali anakupotezea mbali
 
Unakuwa mshamba kama msukuma!!
IMG-20170923-WA0112.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom