Ina maana hata wewe mwenyewe kama mwanamke hujui utamu wako upo wapi? hujui nini kitamu kinachomfurahisha mwenzio kwako??Shepu, msambwanda, miguu, sura, viuno, kauli, adabu, mapishi, usafi, hofu ya Mungu, uadilifu, tabia njema, utulifu, unadhifu au nini hasa?
Mwanamke aweje ili mumewe asichepuke?
Ni utamu gani hasa mnaoutaka?
Maana hata nikiwa na sifa zote hizo bado MTU anachepuka, gari nimemnunulia, anakaa prime area, pocket money nimemwesha yaani hajapungukiwa, but utulivu zero brain kabisa.
Absolutely, lakini kwa hulka za dada zetu watasema tatizo la wanaume ni malaya, au watasema wote baba yao ni mmoja."Hakuna mwanaume wa kuridhika na Mwanamke mmoja labda awe anaumwa au hana fedha"-Masoud Kipanya.
Mwanaume hata awe ametoka kuchukucha dk hiyo hiyo yaani kashuka kitandani halafu akasema ngoja niende nikachukue maji hapo kwenye friji halafu akamkuta mdogo wako wa kike kakaa vibaya lazima udenda umtoke.
Inshort mpaka dk hii tunaeleweshana hapa Bado hajazaliwa mwanamke wa kumtosheleza Mwanaume kikamili kabisa asimtamani mwanamke mwengine hata wewe licha ya kwamba kuna watu wanawake zao wazuri kuliko hata wewe ila bado wanakutamani.
mhmhm wewe kilio chako utaleta lini humu? au bado hujachukuliwa kabebi kako na wewe?
Nahamishiwa Dodoma mpenzi upo tayari twende wote?Nimekumiss Babe, nahitaji nyumba prime area.
take me whatever you want msukuma wangu si unajua vile nakupenda.Nahamishiwa Dodoma mpenzi upo tayari twende wote?
Naomba nikurekebishe mkuu " wake 700 na masuria 300" wenye hadhi ya kifalme, yaani madame wakali tupu.Kama ni hawa uzao wa Adam.. Hata uwape vyote hivyo na ziada ya matundu yote saba... Bado hawatariridhika.... Kumbuka mfalme Suleiman alibarikiwa hekima na utajiri na wake wa ndoa 300 lakini bado akaongeza masuria 3000....
Jr![]()
Huwezi kuwa navyo vyote hivyo lknShepu, msambwanda, miguu, sura, viuno, kauli, adabu, mapishi, usafi, hofu ya Mungu, uadilifu, tabia njema, utulifu, unadhifu au nini hasa?
Mwanamke aweje ili mumewe asichepuke?
Ni utamu gani hasa mnaoutaka?
Maana hata nikiwa na sifa zote hizo bado MTU anachepuka, gari nimemnunulia, anakaa prime area, pocket money nimemwesha yaani hajapungukiwa, but utulivu zero brain kabisa.
Unaandika kama vile kutom.ba ni matatizoKama ulimtoa humu JF basi andika maumivu maana humu kumejaa vito.mbi...angalia mada zao .badilisha kiwanja best..
Unaandika kama vile kutom.ba ni matatizo
Hongera kwa kumtunzaShepu, msambwanda, miguu, sura, viuno, kauli, adabu, mapishi, usafi, hofu ya Mungu, uadilifu, tabia njema, utulifu, unadhifu au nini hasa?
Mwanamke aweje ili mumewe asichepuke?
Ni utamu gani hasa mnaoutaka?
Maana hata nikiwa na sifa zote hizo bado MTU anachepuka, gari nimemnunulia, anakaa prime area, pocket money nimemwesha yaani hajapungukiwa, but utulivu zero brain kabisa.
Mic you mummyTo.mba kwa kiasi, na km wewe kito.mbi usioe. Simple
Kama ni hawa uzao wa Adam.. Hata uwape vyote hivyo na ziada ya matundu yote saba... Bado hawatariridhika.... Kumbuka mfalme Suleiman alibarikiwa hekima na utajiri na wake wa ndoa 300 lakini bado akaongeza masuria 3000....
Jr![]()
Thamani yako inazidi kupanda kila uchwao mithili ya dolari ya mmarekani, kubanwa na majukumu, ratiba waijuaJamani tangia upate nyumba ndogo unaniona sina thamani eehhh? Lol
Thamani yako inazidi kupanda kila uchwao mithili ya dolari ya mmarekani, kubanwa na majukumu, ratiba waijua
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona wewe unapokuwa busy huwa nakuelewa mummy!, forgive me, am sorryAsante, ila hakuna u busy mbele ya mke/ mume lol