Nazjaz
JF-Expert Member
- Jan 20, 2011
- 7,775
- 9,202
Shepu, msambwanda, miguu, sura, viuno, kauli, adabu, mapishi, usafi, hofu ya Mungu, uadilifu, tabia njema, utulifu, unadhifu au nini hasa?
Mwanamke aweje ili mumewe asichepuke?
Ni utamu gani hasa mnaoutaka?
Maana hata nikiwa na sifa zote hizo bado MTU anachepuka, gari nimemnunulia, anakaa prime area, pocket money nimemwesha yaani hajapungukiwa, but utulivu zero brain kabisa.