Mange Kimambi na wadada wa mjini ni shida

Tripple D

Senior Member
Sep 3, 2013
187
61
YALIYOJIRI @ WOMEN'S TEA PARTY – NACKY ASUTWA…



Eeeeh jamani, yani kidogo tuukose huu umbea jamani wadada wa mujini jinsi wanavyopenda kuficha drama zao…hahahaha Basi mmoja wa wageni wa tea party aliniwekea hiyo comment kwenye post yangu ya jana huko IG…

Weee mpare navyopenda umbea kwani palikalika sasa mbona nilitoa contacts zooote angetaka hata mobile number ya baba Kenzo ningempa ili mradi anipe umbea…hahahahahhahaha…



We basi dada ndo kanitumia email hiyooooooooo…Jisomeeeeeee..Hahhahaa, hivi ilikuwa ni jana tu ile nilivyowaambia kuwa jamani huyu Nacky one of this fine days tutamuongelea humu kwa unafki wakesasa naona hata wiki haijaisha toka maneno yangu………….

Uwiiiii someni story hiyooo kwanza mkiisha ielewa then tuendeleeeee ili niwaonyeshe na muelewe maneno yangu nikiwaambiaga hawa wadada wa mujini hawana maaana….



Uwiii jamani Nacky hapo ndo kafanya diet kidogo azimie, ndo anasifiwa kakonda hapo…hahahhahahahahahaha..HAHAHHAHAHHA, Nicheke mimi jamaniiiiiiiiii….Sasa ona Nacky ni shoga na Shamim alafu sasa msuto ulivyoanza Shamim ndo anaetext watu waje kuona Nacky akisutwa….hahahahhhahahaha…jamani jamani nakufa mieeee kwa kicheko….Hivi mmeniamini nikiwambiaa huyu dada ni mnafki asie na mfano hapa duniani mneniamini eeeeeeh???

Na mie nawaaambia inawezekana Shamim alikuwa anajua kabisaaa kuwa Nacky anaenda kusutwa huko shughulini maana hakuna mtu anaenda shughuli ya mtu na kuanzisha balaa bila mwenye shughuli kujua labda kama ni club ila sio shughuli private hivi, lazma walishapatana kumsuta Nacky na Shamim mchezo mzima alikuwa anaujua especially kama na Monica (Mwenye blonde hair) alikuwa anamsuta Nacky…



Mie huwa nawashangaa sana watu wanavyosemaga ooh Mange kakimbiwa na marafiki wote,ooh hana rafiki, oh hawamtaki. kwanza kabisa hakuna alienikimbia, hakuna aliesema hanitaki, nilitoka nduki mwenyeweeeeee bila mtu kunikimbiza mchana kweupeeeeeeeeeee baada ya kusemwa vibaya na kuona nimezungukwa na watu wasionipenda…

Hakuna aliewahi kupingua urafiki na mimi au aliewahi kukataaa kuwa na mimi ,nilijiondoa mwenyeweeeeeeeeeee na kwenda kuwaeleza facebook why nimeamua kuachana nao urafiki…Wengine oooh Mange anawamiss sana wale wadada, ooh anawatamani…. Jamani hivi mnadhani namiss haya maisha ya kinafki???? Siyamisss hata robo? so muniwacheeeee…..

Hawa ni marafiki wa shughulini basiiiiii…hawapendani hata chembe navyowaambia,jamani ni vile tu staki kuongea sana jamani kuna drama zilikuwa zinatokea kile kigroup chetu watu wanasemana vibayaaaaaaa, maneno makaliiii mie nilikuwa nachokaaa kabisa alafu sasa wanachuniana 2 days next week hao mabesti tena wanapiga na picha wanaweka insta na nyie mnapagawa ,ooh i like your group sijui nini? yani mngewajua mngehisi marafiki zenu ni wa maana zaidi ya hawa wadada.

Alafu sasa wanasameheana fastaaa hamuwezi kuamini, mie nilikuwa nachoka kabisaaa ndomaana hawakunielewa mimi kuwa kusemwa vile eti nimechukia mpaka kuwaanika facebook sababu nadhani nilitakiwa kufata utaratibu uliopo, mkisemana mnagombana kimya kimya watu wa nje wasijue, mnachuniana wiki mbili then mnaendelea, eti wakawa wanasema sasa ukichukulia serious si kila siku utakuwa unabadilisha mashoga, chief mie niko tayari niwabadilishe kila siku kuliko kukaa na mashoga feki…..

So mnikome jamani,, siwa miss hawa wanawake hata chembeee maana nawajua inside & out na ndo hiviiiiii tabia zao sasa katokea kichaa mmmoja kafanya balaa mbele za watu which by the way never happens maana huwa wanamalizana in private…hahahhahaUwiii jamani we dada ulieleta story embu tuma hata comment nataka kumjua aliekuwa anamsuta NACKY haswaaa ndo story itanoga maana nikimjua labda ntaijua story vizuri…

Alafu Monica (Mwenye blonde ni mstaarabu sasa mpaka kumsuta Nacky lazma Nacky alileta unafki mkubwa) Na mie nawaapieni Munguhili sumu loooooooooote utakutwa limepikwa na Shamim, haki ya Mungu nawaambieni mimi…

Maana Shamim angekuwa hausiki asingefurahia Nacky kusutwa mpaka kutumia watu message wasikose msuto wa Nacky…Embu waoneni hawa wanawake jamani, mtu mnajifanya kupendana ,mnaalikana mashughulini kumbe hampendani kiasi hiki…Ona hapo walipopiga picha mtu utasema mashoga si ndo hao kumbe ni balaaa tupu….

Na kama nawaona wakati wa msuto Shamim alikuwa anawaambia wanaogombana " Jamani nyie acheni, watu wanaangalia, aibu huku anatuma message kwa watu wasikose msuto" nawaambie mie lazma alikuwa anajifanya kuwaachanisha jinsi navyomjua huyu mwanamke….Mburulaz basi ni wanawaangaliaga wanasema ona wadada wanavyojiheshimu ndo maana hawamjibu Mange michambo yake maana wamemdharau ,LILE li Mange ligomvi kutwa.

Chief, sasa si bora mimi nakupa liveee ,ni bora hawa feki wanaokuchekea huku wanataka kukutoa roho??? Hawa ndo decent hawa????? hawa sio decent hawa wanaitwa fake people au 2faced people. PERIOD…….



Monica Monica Monica, sijui umetoka wapi na mdogo wako Shamim mpaka ushoga umenoga hivi ila huo msuto mliompa Nacky lazma umepampiwa na mdogo wako maana yeye ni shogako lazma mlishaongeaaaaa ,kama yeye ni true friend wako either angekukataza au angekusaidia kumchamba Nacky, ila kajiweka mzuri kwa NACKY nyie mkajifanya vichaa mbele za watu ,yeye kabaki anaonekana wa maana mmbele za watu nyie mnaonekena mna drama kama Mange.

Na shamim hizi ndo zake, anatengeneza ugomvi between people then anakaa pembeni anawaangalia mnavyojiaibisha huku yeye anajifanya mstaarabu, niliwaambia toka ugomvi wangu na Sinta nikasemwa ooh napenda ugomvi, sii hii imetokea tena, hakuna wa kuongea ila nawaambieni mimi hili balaa la Nacky kusutwa Shamim kalipikaaaaaaa hata kama hakuwa main chef ila katia hata chumvi …

yani kuna mkono wa shamim hapa nawaambieni mimi…..Ila hawa wanawake hawasikiagi tukiwaambia maana wanaona picha watapigwa wapi muwaone kwenye mablog na IG???? Ila ndo hayoonimefurahiii sana Nacky kusutwa mpaka basi hamuweze kuelewa nimefurahijeee….

a.jpg


Nacky acha kung'ang'ania nyumba ya kaka wa watu jamani, kwani huna kwenu aunty??Si unajifanyaga kwenu matajiri? maza waziri sijui nini sasa nini kujidhalisha nyumba za watu ? nendagaaaaaaaaa mwana kwendaaa….

Na bado wewe Nacky wewe mwanamke, Mungu atakuonyeshaaaa…Dunia hiii itakuonyesha….unless uchange na utubu ila mwanamke wewe una roho mbaya na unafki na uongooo juuu.

Wenzio tuko after something kwa wanaume ila wewe huchagui mpaka wanawake wenzio you are after something, kama sio pesa basi status ,mpaka Lucy Kimei humpendiiiii unachomfatia utajiri wa babake. hukuwaga unasema Lucy anapenda kukuiga kila kitu, she is a copycat? alivyozaaga mtoto wa kwanza akataka kumuita Malaika kama wakwako ukachukia balaaa wewe na ndugu zako ndo watu wakam convince Lucy asikuimte mwaname Malaika maana nyie mko close haitapendeza..

Mie ningeyajuaje kama sio wewe kunilalamikia ,nilikuwepo? UNGEKUWA rafiki wa kweli usinge mind Lucy kutumia hilo jina maana it only means rafiki yako anakupenda sana kiasi mpaka katamani kumuita mwanae jina la mwanao, ila una roho mbaya mpaka dada wa watu akamuita mwanae jina ambalo hakulitaka na bado ukatoka hapo unamsema kwa watu mpaka mimi ukanihadisia hiyo story ulivyo mbaya wew dada….

Eeeh we si unajifanya unajua kuchonganisha watu ,we si unajifanya unajua umbea ngoja nikupe a taste of your own medicine uone utamu wake….. Lucy kum*** ex mumewe sijui movenpic hukuniadisia wewe??? (nime edit maana staki muumiza Lucy,mfyuu) tena naweza kuweka details zooote hapa ila staki kumwaibisha Lucy… Eeeh ndo ujue utamu wa mtu kukuchonganisha na rafiki yako unadhani nimekaa kimya sikuchonganishi na watu sababu sina ya kuwaambia si sababu sioni faida yake…

Sasa Lucy hata akibaki rafiki na wewe atakuwa anakuangalia kwa macho manneeeee….. Kila mtua anajua unavyomsemaga yule dada,Lucy muulize hata Hilda Ringo atakwambia anaajua haya mastoli yoote….. Sijui mshamba ,hajui kuvaa, hajui vitu vizuri mpaka wewe umuonyeshe, kama sio wewe kumfundisha,ujinga mtupuuu….

Nacky kinachokufanya unamsema Lucy vibaya ni sababu although Lucy kwao matajiri ila yule ni mchaga pureeeee, mbahili mpaka ,hakupagi nini wala nini hata kazi CRDB Lucy hakukusaidia ulivyotoka marekani.

Dada wa sauz hutokaa kumteta sababu ni mtoaji, na ni mtu wa kusaidia marafiki juu chini, Dada wa Sauz hakukuita interview Vodacom nyau wewe? na ni nani aliekuombea kwa dada wa sauz upate interview Vodacom? si mimi hapa, then baadae ndo ukaanza kufatilia mweneywe kwake ,ukaitwa interview aliekufanyia interview akamwambia dada wa sauzi hapana bosi she doesnt qualitfy ukimpa kazi mpe lakini We have better candidates ndo ukatoswa. Ilooo….

Ila dada wa sauz alitry ni vile tu mtu mwenyewe hubebeki, Zero Brain…..Lakini Lucy? hata interview ya kupika chai hajawahi kukutafutia CRDB na ndo maana unamteta kutwaa maana huamini rafiki tajiri vile alafu hakusadiii maana wewe kwako marafiki niwa kukupa kitu tuuuuu. KIki hutokaa kumteta sababu unajua hana although hana cha kukuhonga anachokupa ni status mjini ya kufatana nae…..

Una balaaa we mwanamke…Eh unakumbuka Wewe na ndugu zako mkawa mpaka mnamsema mtoto wa Lucy yule mkubwa eti mmbaya, eti mnasema Malaika wenu mzuri zaidi ya Nia, mlivyo mnalaana nyie mpaka vimalaika mnavitoa kasoro? sisemi mtoto yupo mzuri zaidi maana mie ni mama. Lucy hi story ya watoto mpigie Captain Hilda uskie plssssssss nakuomba mpigie uhakikishe maana mie na Hilda kidogo tulie hii kitu…..

Na Hilda na wewe semaaaaaa usiogope usiposema ukweli naREPOST humu zile picha zako za engangement na Mjuni ndo adhabu yako….hahahahhahahahahahahahahhahaha…..Nacky , Lucy Kimei unamsemga kama mke mwenzio… KHA!!! EEhh tamu eeeh kuchonganishwaaa na watu eeeh? maana sasa hivi lazma umuonee Lucy aibu…Mfyuu…….Dunia itakufunzaaa, huu msuto wa juzi chamtoto nakwambia na badooooo.

Haya hao marafiki zangu woooote unao wewe umepata faida gani zaidi ya picha picha, holiday za Sauzi na kila mtu kukujua undani wako kama ni mnafki , mgombanishi na mwenye kujipendekeza kwa wanawake wenzio kisa wana maisha mazuri?? Mie siko nao hao wanawake niambie nimepungukiwa nini zaidi ya msururu wa mashoga ambao ambao 98% of them hawakuwa na faida yoyote ile kwangu zaidi ya picha za kupendezesha blog???? SASA ukae nao uwale nyama uzidi nenepeana na mibalaa yako…… You deserve each other anyways!!!!Loh mwanamke umri wako bado unasutwa??? aibuuuuuuuuuu, badilika wewe mama,,,next time utafatwa na matarumbeta ulivyo mchonganishi..mfyuuuu…..

Kaka Mihayo kama unasoma, au Mwasi kama unasoma mwambie kaka yako afate huu ushari wangu na atafanikiwa kumtoa huyu bonge nyanya nyumbani kwenu….Awaache watoto kwa mama yenu Mbeziiiiiii ili wasiadhirike kisaikolojia ,yani wasijue whats happening between daddy and mommy….Then arudi kwenye nyumba ya wazazi wenu kama kawa, huyo Nacky ataondoka mwenyewe bila kuambiwa na mtu…Arudi pale ndani ila asirudi mwenyewe arudi na bonge la mwanamke ,tena warudi master bedroom, waishiiii wooote wawili humo ndani ,Nacky na mke mwenzie…Tumuone sasa.

Tena mwambie mwanamke awe mkali kweli kweli maana nacky kwa kujifanyaga mzuri kisa rangi,hahahha…Hivi kwanini watu weupe wanajihisigi wazuri kisa rangu tu?Mfyuuu……Tena mwanamke awe na tako la hajaaaaaa, anaingia jikoni anapika na Khanga moja ,tako latikisika tuu mtoto tentementeeeee, shoga na shepu yake ya kipare atajutraaaaaa……. (Sio wapare wote tuna shepu ka ya huyu dada, wengine tuna shepu zetu eeeeh, haloooooooooooo )….

Huyo mwanamke awe guu guuu tende si tende la Zari nyumaaa…Sasa huyo mpare ndo atajijua kama mwenzie ana guu la bia au la ugonjwa atajijua na viguu vyake vya kipare (sio wapare wote tuna miguu kama yake wengine mashallah, miguu Mwenyezi Mungu hakutunyima). Yani ni kwamba mwambie Mihayo ampelekeee mke mwenzie humo ndani tena awe mwanamke mswahiliiii, Nacky akitoka kazini anazisikia taarab zinapigwa ndani kwake toka yuko getini…Utaona kama hatosepaaa…..

Ataondoka mwenyewe ila vile mlivyomziria nyumba haondokiiiiiii huyu dada kwao zikiiiii (not dhiki) pale ile nyumba ya kina Wilmores kastirika mwenzenu anaona ka palace maana kwao mnapajua…..haloooooooooooooooooo!!!!! Angalau kina Mange leo tukiachika tutarudi makwetu kwa pride, angalau kwetu kwaridhisha babu wewe!!!!Ila jamani wanaume mjifunzeeeeeeeeee,na kina Kenzo ntawaambia kila siku ,mama zenu wakiwaambia huyu mwanamke hafai, nihafai kweliiii…

Huyu Mihayo mamake kila siku alikuwa anapiga kelele kuwa huyu mwanamke mshenzii, mwanaume haskiii.Yule mama kama namuona sasa hivi anavyoishi kwa amani ,mwanae kachorodoka kwenye makucha ya Nacky….Unalo bibi weweeeeeeee, huna pride wala nini, mamako waziri kwanini akuache uadhirike hivi? hawezi hata kukupangia nyumba.

Umebaki uking'ang'ana nyumba za familia ya mwanaume…Mwanaume kakuchokaa mpaka kaikimbia nyumba ya wazazi wake , ujione ulivyo mzoga bibi wewe…..Kujifanya mzuri, wazuri wanaachwa??? HALOOOOOOOOOOOOOOOOO…..

Na Mihayo ni mjanjaa yule kaka jamani alijenga nyumba kwa jina la familia yao sio jina lake maana alihisi toka mwanzo kauziwa mbuzi kwenye gunia…..Bora kaka ulistuka ungelia leo hii kugawana nyumba na huyu kiumbe asiestirika…. Aondoke kama alivyokuja na begi lake moja…..Mbezi beach kuna kumuhusu nini na kwao Kinondoni kwa Bi Afra??? Shoga rudiiii,MBezi beach kulikuwa ukweni ushaachika, rudigi kinondoni bibi wewe……

Na bado hata ukiolewa tena utaachika we dada jinsi ulivyo muongooooooooo, shankupe, shangingi lilokosa wowowo, mpenda pesaaa, kujifanya high class mtu shingi 10 huna, unclass gani zaidi ya kuhang out na watoto wa matajiri kama kina the Kimeis….KAJAMBE MBELEEEEE!!!



Uwiii jamani nyie mnaomvalisha huyu dada bure acheni jamanimnanipa muda mgumu sana na viwalo vyangu jamani…. kha!!! Sasa nguo nilikuwa nimepanga kuvaa jana kwenye gradu ya Bhoke ni hii maana alitaka mamake niave midi dress kama yeyeyangu ni ya Burgundy (rangi ya damu ya mzee).

Ila niliyomuona nayo bibie last week nilikosa rahaaa nkasema pyeeeeee… Sasa basi ile nguo niliyovaa jana I swear to God sikuwa nna idea huyu dada alishaivaa mpaka nimeweka picha insta mtu akaweka comment kuniambia, uwii nili delete comment fasta nikadhani kakosea..Kumbe kweli babake…Nilitamani kama niremind shughuli…UWIIII Yani nivae nguo after huyu dada eeeish ni aibuuuu sana….Yani hamjui nilivyokosa raha …

Sasa hiyo nguo aliyovaa pichani nnazo karibia nane za kuuza,maana mie huwa navaa nguo then nakuwa naziuza pia…Sasa ni hasaraje nikasema nimvalishe bhOKE atleast then niweke insta Bhoke haijamtoa at all maana ya kikubwaaa, nikasema nimpe model pesa aivae sasa kumlipa model kwa sababu ya nguo pisi 8 tu ntapata hasara….Kha!!! nahisi ntaivaa na sandals tu tena bila makeup nisipanie sana then niweke insta muinunue…..

Huyu akinigeza mimi its okay maana thats what is expected ila mimi kumgeuza huyu ni noumerrrrrr…aibuuuuu…EISSHHH…….Jamani nyie watoa nguo za bure acheniiiii mnaniharibia swaga zangu…mfyuuuuu….Nimeweka hii picha yenye Jennifer Bash maana kwenye ile post ya watu niliogombana nao mlimuulizia sana, aisee sina tatizo nae na sidhani kama anatatizo na mimi…

Mie nilimjulia kwa hao hao kina Kiki so huwa sio rafiki yangu kihivyooo ila tuna heshimiana flani…. So no sijawahi gombana nae labda kama kanunua ugomvi….Siku nikiamua ntampa story zake za New York Flavy alizokuwa anazitoa atachokaaaaaa, angejua navyomjuaaaaaaa angeniogopa sana maana nashindwa hata kuanza kumpa hint nachoongelea maana asije pata problem na mumewe ila anajua alikuwa anaishi maisha gani New York.

Flavy aalikuwa nayawasilisha kwa KIKI, KIKI anayawasilisha kwangu… Uwii,jamani embu tuache jamani…… Waishi maisha yao na mie niishi yangu maana nikianza kuongea sana ntawavuruga vuruga then na mie niwe sina tofauti na Nacky and I aint like that….



Chonde chonde najua Miriam KIZITO katajwa hapo mshanza kuleta story za mdogo wake Olivia wa VIATUZ na Miriam….Uwiii mwacheni MIRIAM Sina problem nae, infact she is my cousin sijui katoka wapi urafiki na huyo bibi bomba maana Miriam ni mtoto sana kwa huyo bibi Bomba. Hata vile navyomtajaga KInje huwa napata tabu sana maana mke wake ndugu yangu…. Dah, sijui ndo ajali kazini…. Hata siku zile nilitoaga post sababu ya mke wake sio vile mlivyodhani nimeogopa…

So please no more story za Miriam……Kwanza she is a a very very goood designer, very talented, fanyeni kumfollow muone kazi zake…. ONE OF THE BEST DESIGNERS IN BONGO…VERY ORIGINAL…

Chanzo: U-turn Blog
 
Huyu mange shida yake ni kudhalilisha tu wanawake wenzake na kutoa siri zao hadharani, anaposema aliambiwa Lucy kimei alimcheat X husband wake, Jeniffer Bash anazosiri zake alizozipata toka kwa flaviana matata wakati jeniffer anaishi new york, kusema Nacky alichukia mpaka akataka kulia kisa jina la mtoto wa Lucy,kusema aliekuwa mume wa Nacky amfukuze kwenye nyumba nacky au amletee mke mwenza ndani ili amkomeshe, tena alete mke mwenye mguu mzuri kama wa zari, huyu Mange ni mgomvi, wivu, uchonganishi, husda, uzandiki ndio vimemjaa, alisema miguu ya zri ni ugonjwa leo imekuwa mizuri mpaka awe mfano wa mwanamke mwenye miguu mizuri?

Mwanamke anaishi US lakini mawazo yako bongo wivu tu, hapo kamdhalilisha lucy kuwa hajatulia kwenye ndoa yake, eti ndio yeye awe mzuri kwa lucy kuliko Nacky?

Nguo aliyovaa shamimu yeye hawezi vaa haaa, kwa uwezo upi? au kwa lipi hasa alilonalo ambalo shamimu hana? Eti shamimu anavalishwa na mtu na sio kwamba ananunua loh, mwanamke ana WIVU NA CHOYO mpaka basi, halafu karopoka nguo ninazovaa huwa nauza kiruuu eti ye ndio tajiri.

MANGE KWENDA ACHA UZANDIKI WEWE, we mbona ulimcheat mumeo na Albart lakini husemi? Mzungu si ndo bora mbona uligawa nje ya ndoa? Jiangalie upya soon utajilipua wewe.
 
mwasu,

Mange ana maumivu fulani moyoni sasa nahisi anataka kushare na wengine hayo maumivu. If she has been knowing all those stuffs for years as sge claim why now aropokwe?? She is not civilised at ll and not well mannered either. Shame on HER
 
Huyu mange shida yake ni kudhalilisha tu wanawake wenzake na kutoa siri zao hadharani, anaposema aliambiwa Lucy kimei alimcheat X husband wake, Jeniffer Bash anazosiri zake alizozipata toka kwa flaviana matata wakati jeniffer anaishi new york, kusema Nacky alichukia mpaka akataka kulia kisa jina la mtoto wa Lucy,kusema aliekuwa mume wa Nacky amfukuze kwenye nyumba nacky au amletee mke mwenza ndani ili amkomeshe, tena alete mke mwenye mguu mzuri kama wa zari, huyu Mange ni mgomvi, wivu, uchonganishi, husda, uzandiki ndio vimemjaa, alisema miguu ya zri ni ugonjwa leo imekuwa mizuri mpaka awe mfano wa mwanamke mwenye miguu mizuri?

Mwanamke anaishi US lakini mawazo yako bongo wivu tu, hapo kamdhalilisha lucy kuwa hajatulia kwenye ndoa yake, eti ndio yeye awe mzuri kwa lucy kuliko Nacky?

Nguo aliyovaa shamimu yeye hawezi vaa haaa, kwa uwezo upi? au kwa lipi hasa alilonalo ambalo shamimu hana? Eti shamimu anavalishwa na mtu na sio kwamba ananunua loh, mwanamke ana WIVU NA CHOYO mpaka basi, halafu karopoka nguo ninazovaa huwa nauza kiruuu eti ye ndio tajiri.

MANGE KWENDA ACHA UZANDIKI WEWE, we mbona ulimcheat mumeo na Albart lakini husemi? Mzungu si ndo bora mbona uligawa nje ya ndoa? Jiangalie upya soon utajilipua wewe.
Hizo nguo nendeni aliexpress.com mtapata mbona na bei nzuri tu
 
Huyu mange shida yake ni kudhalilisha tu wanawake wenzake na kutoa siri zao hadharani, anaposema aliambiwa Lucy kimei alimcheat X husband wake, Jeniffer Bash anazosiri zake alizozipata toka kwa flaviana matata wakati jeniffer anaishi new york, kusema Nacky alichukia mpaka akataka kulia kisa jina la mtoto wa Lucy,kusema aliekuwa mume wa Nacky amfukuze kwenye nyumba nacky au amletee mke mwenza ndani ili amkomeshe, tena alete mke mwenye mguu mzuri kama wa zari, huyu Mange ni mgomvi, wivu, uchonganishi, husda, uzandiki ndio vimemjaa, alisema miguu ya zri ni ugonjwa leo imekuwa mizuri mpaka awe mfano wa mwanamke mwenye miguu mizuri?

Mwanamke anaishi US lakini mawazo yako bongo wivu tu, hapo kamdhalilisha lucy kuwa hajatulia kwenye ndoa yake, eti ndio yeye awe mzuri kwa lucy kuliko Nacky?

Nguo aliyovaa shamimu yeye hawezi vaa haaa, kwa uwezo upi? au kwa lipi hasa alilonalo ambalo shamimu hana? Eti shamimu anavalishwa na mtu na sio kwamba ananunua loh, mwanamke ana WIVU NA CHOYO mpaka basi, halafu karopoka nguo ninazovaa huwa nauza kiruuu eti ye ndio tajiri.

MANGE KWENDA ACHA UZANDIKI WEWE, we mbona ulimcheat mumeo na Albart lakini husemi? Mzungu si ndo bora mbona uligawa nje ya ndoa? Jiangalie upya soon utajilipua wewe.

Albart yupi huyo?mbongo?
 
Daahh shamim alikuwa powa sana enzi zile wkt tupo skuli, ila maisha haya ya juu yanamletea mambo kweli bidada


Yaani nakumbuka enzi zake z Bungo Primary School pale morogoro. Alikuwa very mpole Shamimu. Akaenda Morosec ndo akaanza janjatukiaa pale. Now kawa dada wa mjini duuuh mjini kutamuu
 
Baba Kenzo atakuwa hamsugui vizuri huyo mange,angekuwa anasuguliwa asingepata mda wa kuandika magazeti yake ya mzalendo kila siku.

Ndoa yake mbona imekufa wanalea watoto tu sasa

Inabidi aongeleee yake yaliyomsibu maana alimaliza mwaka 2014 na kuingia 2015 akilia

Ni bora angetulia kuliko kuingiza wengine nao ndoa zao zife, sababu na yeye alikuwa anachepuka kwa sana tu, la muhaya ndio lilimmaliza ila jamaa nae alichepuka. So alikosa kulimudu
 
Yaani nakumbuka enzi zake z Bungo Primary School pale morogoro. Alikuwa very mpole Shamimu. Akaenda Morosec ndo akaanza janjatukiaa pale. Now kawa dada wa mjini duuuh mjini kutamuu

Mhh kwani shamim kasoma moro sec au forest? Sasa hivi ata waliompokea mjini anawaona pusi tu.
 
Back
Top Bottom