Mambo haya yanatokea nchi gani MkuuShepu, msambwanda, miguu, sura, viuno, kauli, adabu, mapishi, usafi, hofu ya Mungu, uadilifu, tabia njema, utulifu, unadhifu au nini hasa?
Mwanamke aweje ili mumewe asichepuke?
Ni utamu gani hasa mnaoutaka?
Maana hata nikiwa na sifa zote hizo bado MTU anachepuka, gari nimemnunulia, anakaa prime area, pocket money nimemwesha yaani hajapungukiwa, but utulivu zero brain kabisa.
Mimi miguu, yaani mwanamke akiwa na miguu mizuri mashalah.Shepu, msambwanda, miguu, sura, viuno, kauli, adabu, mapishi, usafi, hofu ya Mungu, uadilifu, tabia njema, utulifu, unadhifu au nini hasa?
Mwanamke aweje ili mumewe asichepuke?
Ni utamu gani hasa mnaoutaka?
Maana hata nikiwa na sifa zote hizo bado MTU anachepuka, gari nimemnunulia, anakaa prime area, pocket money nimemwesha yaani hajapungukiwa, but utulivu zero brain kabisa.
in short mnyaazi mungu ndo alipanga iwe hivyo,ila kwanini mimi sichepuki?natamani sawa ila naweza kujicontrol nikabaki njia kuuDada asikudanganye mtu,asili yetu n kutaman tu,hata uwe na msambwanda vp au ukamilike au uwe mzur wa aina yoyote ile kuchepuka n lazma,ila vzur upate anaejua kuchepuka kwa siri ili usiumie moyo,wew mwenyewe ukifuga kuku au ng'ombe utanunua dume moja ila majike weng,hlo dume litawapitia wooote,binadam pia ndo tulivyo dada
Kwenye kuonja onja ndio mnajikuta mnawaonja na wanaume wenzenuHata kubadili taste ni issue.
Ule usemi utamaliza bucha, nyama ni ile ile, utabakia kuwa usemi tu.
Kama nyama ni ile ile, kwa nini mtu aende bucha ya mbali kwenye nyama "nzuri"?
Ni nature ya mwanaume ku test hapa na pale. Labda awe na matatizo.

Yani zerooo kabisaaHii generalization mnaitoleaga wapi wakuu"Hakuna mwanaume wa kuridhika na Mwanamke mmoja labda awe anaumwa au hana fedha"-Masoud Kipanya.
Mwanaume hata awe ametoka kuchukucha dk hiyo hiyo yaani kashuka kitandani halafu akasema ngoja niende nikachukue maji hapo kwenye friji halafu akamkuta mdogo wako wa kike kakaa vibaya lazima udenda umtoke.
Inshort mpaka dk hii tunaeleweshana hapa Bado hajazaliwa mwanamke wa kumtosheleza Mwanaume kikamili kabisa asimtamani mwanamke mwengine hata wewe licha ya kwamba kuna watu wanawake zao wazuri kuliko hata wewe ila bado wanakutamani.
Sio kweliBora mkuu Umeandika ukweli
Wewe umetembea na mwanamke mmoja tu toka ujue m.u.k.a?Hii generalization mnaitoleaga wapi wakuu
Huo ndio ukweli mkuu kifupi hamtosheki wala hamjui nini mnataka?Sio kweli
Ulivyovitaja vyote unavyo?Shepu, msambwanda, miguu, sura, viuno, kauli, adabu, mapishi, usafi, hofu ya Mungu, uadilifu, tabia njema, utulifu, unadhifu au nini hasa?
Mwanamke aweje ili mumewe asichepuke?
Ni utamu gani hasa mnaoutaka?
Maana hata nikiwa na sifa zote hizo bado MTU anachepuka, gari nimemnunulia, anakaa prime area, pocket money nimemwesha yaani hajapungukiwa, but utulivu zero brain kabisa.
"Hakuna mwanaume wa kuridhika na Mwanamke mmoja labda awe anaumwa au hana fedha"-Masoud Kipanya.
Mwanaume hata awe ametoka kuchukucha dk hiyo hiyo yaani kashuka kitandani halafu akasema ngoja niende nikachukue maji hapo kwenye friji halafu akamkuta mdogo wako wa kike kakaa vibaya lazima udenda umtoke.
Inshort mpaka dk hii tunaeleweshana hapa Bado hajazaliwa mwanamke wa kumtosheleza Mwanaume kikamili kabisa asimtamani mwanamke mwengine hata wewe licha ya kwamba kuna watu wanawake zao wazuri kuliko hata wewe ila bado wanakutamani.
Hayo tena mengine. Tubaki mwenye hoja yako ya msingi. Ujue hata misambwanda hutofautiana. Ipo dizaini nyingi tu.Kwenye kuonja onja ndio mnajikuta mnawaonja na wanaume wenzenu
Explain in details