Utamu wa mwanamke ni upi?

Utamu wa mwanamke ni upi?

Kama ni hawa uzao wa Adam.. Hata uwape vyote hivyo na ziada ya matundu yote saba... Bado hawatariridhika.... Kumbuka mfalme Suleiman alibarikiwa hekima na utajiri na wake wa ndoa 300 lakini bado akaongeza masuria 3000....

Jr
Nazihitaji hekima na busara zako
 
Mamii mbona iko straight forward,mwanamme anapenda unlimited sex, na chakula kizuri, ukiweza kutimizi haya lazima akae..well vitu vingine atavi overlook..
Huyu wa kwangu sitaki kumuita kimeo, yaani, kama ni sex tu, tumezifuata hadi Huko ughaibuni, kwenye mahoteli na mabustani, kwenye maegesho na chini ya mbaramwezi nimempa bila choyo yoyote, lakini anakamata hadi house girl wa jirani, na kafumaniwa Huko ndani na akapelekwa Polisi, hii aibu niiweke wapi Mimi?
 
Shepu, msambwanda, miguu, sura, viuno, kauli, adabu, mapishi, usafi, hofu ya Mungu, uadilifu, tabia njema, utulifu, unadhifu au nini hasa?
Mwanamke aweje ili mumewe asichepuke?
Ni utamu gani hasa mnaoutaka?
Maana hata nikiwa na sifa zote hizo bado MTU anachepuka, gari nimemnunulia, anakaa prime area, pocket money nimemwesha yaani hajapungukiwa, but utulivu zero brain kabisa.

Sababu huna vyote ulivyovitaja hapo
 
Huyu wa kwangu sitaki kumuita kimeo, yaani, kama ni sex tu, tumezifuata hadi Huko ughaibuni, kwenye mahoteli na mabustani, kwenye maegesho na chini ya mbaramwezi nimempa bila choyo yoyote, lakini anakamata hadi house girl wa jirani, na kafumaniwa Huko ndani na akapelekwa Polisi, hii aibu niiweke wapi Mimi?
Wanaume hawaridhiki hata wapewe nini... Kikubwa wafanye siri na kwa tahadhari.. Ukimpenda!? Utamlinda... Si kumlinda na maradhi tu bali na maumivu ya moyo pia

Jr
 
Shepu, msambwanda, miguu, sura, viuno, kauli, adabu, mapishi, usafi, hofu ya Mungu, uadilifu, tabia njema, utulifu, unadhifu au nini hasa?
Mwanamke aweje ili mumewe asichepuke?
Ni utamu gani hasa mnaoutaka?
Maana hata nikiwa na sifa zote hizo bado MTU anachepuka, gari nimemnunulia, anakaa prime area, pocket money nimemwesha yaani hajapungukiwa, but utulivu zero brain kabisa.

Umeolewa na mume wa mtu kwa kumnunua na hivyo ulivyovitaja. Angekuwa wa kwako hata usingekuwa na kitu bado angekuganda kama ruba.
 
Huyu wa kwangu sitaki kumuita kimeo, yaani, kama ni sex tu, tumezifuata hadi Huko ughaibuni, kwenye mahoteli na mabustani, kwenye maegesho na chini ya mbaramwezi nimempa bila choyo yoyote, lakini anakamata hadi house girl wa jirani, na kafumaniwa Huko ndani na akapelekwa Polisi, hii aibu niiweke wapi Mimi?
Pole mama hiyo ni mtihani ya dunia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu wa kwangu sitaki kumuita kimeo, yaani, kama ni sex tu, tumezifuata hadi Huko ughaibuni, kwenye mahoteli na mabustani, kwenye maegesho na chini ya mbaramwezi nimempa bila choyo yoyote, lakini anakamata hadi house girl wa jirani, na kafumaniwa Huko ndani na akapelekwa Polisi, hii aibu niiweke wapi Mimi?

Jamani Nazjaz pole sana, kuna wanaume kama ilivyo wanawake sio watu wa kuji commit kwenye relationship namaanisha ingependeza wakae single wafanye ufuska wao wanavyotaka na sio kujifanya wanaweza kuji commit into relationship/marriage wakati 'character' yao ni ufuska..pole sana mamii ila TRUST ME utapona tu...watu wame experience worse na wakapona, na wewe utapona tu..time is the best healer....
 
Kama anakupenda inatosha boss.. coz ndio kitu pekee mwanaume anaweza mfanyia mwanamke mmoja na asiweze Fanya kwa mwingine labda kama kutatokea ulazima! ila tamaa itabakia kua tamaa

Hyo sijui kutulia kisa kupata kila kitu usijidanganye mwanaume hajawai tulia tangu henzi za manabii na mitume..

Na siku akitulia kuna wanawake watakufa kabla ya mda hii ndio sababu hatutulii hli wanawake wengine waweze ku survival na kuifanya dunia kubaki kwenye hali salama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani Nazjaz pole sana, kuna wanaume kama ilivyo wanawake sio watu wa kuji commit kwenye relationship namaanisha ingependeza wakae single wafanye ufuska wao wanavyotaka na sio kujifanya wanaweza kuji commit into relationship/marriage wakati 'character' yao ni ufuska..pole sana mamii ila TRUST ME utapona tu...watu wame experience worse na wakapona, na wewe utapona tu..time is the best healer....
Asante sana, ila bado najiuliza, kilichomfanya aende chumbani kwa house girl wa jirani hadi anafumaniwa Huko na kupelekwa Polisi ni nini? Mbona wadada wazuri wapo wengi sana, kwanini Ali risk kuingia nyumbani kwa watu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom