Be that top 1% -majitu yenye akili na nguvu

Tanzanite klm

JF-Expert Member
May 7, 2013
453
376
Hili ni andiko adimU ambalo pengine litafutwa mtandaoni maana majitu yenye akili na yanayotawala kila mifumo ya siasa na uchumi wasingependa uzijue ufanane nao.

Kwa utaratibu na sehemu ndogo nimeandika kwa ufupi sana sehemu ya andiko hili la siri ambalo linaweza kukufanya uwe jitu lenye akili na linaloweza kutawala mazingira yake na ya wengine. Wachache sana wanajua siri hizi na ndio ile asilia moja inayoundwa na top billionaires duniani na top influencers. Hawakuja kwa bahati mbaya lahasha wanazifahamu sheria na kanuni hizi na kuzifuata.

Utafaham kwanini Steve Job mwenye baba wa tech na co founder wa Apple Inc hakuwa na TV kwake na wala hakuruhusu watoto wake wawe na tablets si hivyo tuu alogarithm za unachoona tiktok tanzania na ukiwa China ni tofauti sambamba na fb insta na mingine.

Why? kwa ufupi tuu nimeandika hapa chini.

Kwanza niweke wazi kuwa Majitu yenye akili yameanzia kwa wale wanajua kusoma AEIOU mpaka maprofessa. Thomas Edsom invetor wa Light Bulb yeye alijua kusoma AEIOU na baadae aliishia la pili na mama ake akamfunsha kusoma sentensi basi akujua kusoma na kuandika basi na akafanya makubwa ya kutisha.

Utangulizi

Kufikiri kwa ufanisi kwa sasa ni changamoto kubwa, hususan katika ulimwengu wa leo wenye mafuriko ya taarifa kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii. Mara nyingi, watu hupoteza uelewa kwamba wanaofanya kazi katika vyombo hivyo vya habari wanategemea tafiti za kisaikolojia. Wanajua ni aina gani za habari zinazosisimua na kuzua hisia, iwe ni habari za kusisimua, kusikitisha, au kuleta faraja.

Pamoja na hayo, mfumo wa elimu uliopo umeshindwa kutoa mwongozo wa kutosha kuhusu jinsi ya kufikiri kwa ufanisi ili kuweza kujitambua na kutawala mazingira yako.

Kumekuwa na wingi wa makala na mafundisho juu ya ujasiriamali na jinsi ya kutengeneza pesa, lakini mara nyingi, watu wanapopata maarifa hayo, wanakosa ujasiri na uwezo wa kuchukua hatua na kusonga mbele.

Kwa msingi huo, nimeamua kuandika kitabu hiki kwa umakini, kuelezea misingi inayoweza kumsaidia mtu kupata ujasiri, kuelewa nguvu za asili na jinsi ya kuzitumia, kuishi vizuri na wenzake, na jinsi ya kutumia rasilimali ya ndani - "mgodi" ulioko katikati ya masikio yake - ili kuleta mabadiliko yanayohitajika. Lengo ni kuwafanya watu kuwa na ufahamu wa kina na uwezo wa kutatua changamoto zinazowakabili na zinazozunguka jamii yao na ulimwengu kwa ujumla.

Katika kurasa hizi, utajifunza njia za kuongeza uwezo wako wa kufikiri na kuchangia katika maendeleo ya binadamu. Pia, utagundua jinsi ya kuchimba "mgodi" wako wa maarifa ulioko kati ya masikio yako na kufikia kiwango cha wataalamu wa kufikiri ulimwenguni waliotatua matatizo mengi na kufikia mafanikio makubwa.

Tafadhali endelea kusoma ili kugundua hatua kwa hatua jinsi ya kuwa mbunifu na mwenye uwezo wa kutatua changamoto katika maisha yako na kwa wengine.

Sura 1: Mtazamo ni Muhimu

Katika sura hii, tunachunguza jinsi nguvu ya mawazo au mitazamo tunayonayo kichwani inavyoathiri maisha yetu na afya zetu kwa ujumla. Tunagundua kuwa:

Mawazo Chanya ni Msingi wa Mafanikio: Mawazo chanya ni kama msingi wa jengo. Ikiwa unataka kufanikiwa katika maisha yako, unahitaji kuwa na mitazamo chanya. Mitazamo hii inakusaidia kuona fursa badala ya changamoto na inakupa nguvu ya kusonga mbele bila kukata tamaa. Wataalamu wa saikolojia wanasema kuwa akili ni kama vile sponchi ambalo hufonzya kimiminika chochote kile pale linapowekwa, hivyo wanasema ukiambatana na watu makini basi utakuwa mtu makini na kama utaambatana na watu wapumbavu basi bila shaka utakua mpumbavu. Mfalme Suleiman mtu mwenye akili na hekima nyingi aliyeishi miaka mingi iliyopita aliwahi kusema ya kwamba chuma hunolewa na chuma. Hivyo basi ndugu msomaji bila kujali umri wako muda ni sasa wa kuambatana na watu sahihi watakaokufikisha unapotaka ufike katika kilele cha mafanikio.

Mikakati na Juhudi makini: Kufikia malengo yako kunahitaji mikakati na juhudi makini. Haijalishi ni uwezo upi ulio nao, unahitaji kutumia akili yako kwa ufanisi na kufanya kazi kwa bidii na umakini ili kufikia malengo yako. Tunaishi katika zama ambazo kufanya kazi kwa nguvu sana kwa kutumia misuli pekee ya mwili hakukufanyi kuwa na mafanikio, basi kama unadhani ivyo hakuna tofauti na punda anayefanya kazi kwa nguvu au ngombe wa kulimia shamba ili hali mwisho hapati chochote zaidi ya kumnufaisha mwanadamu anayemmiliki. Tupo zama zinazotawaliwa na taarifa na data sahihi kwa wakati sahihi.

Uwezo Wetu wa Kufikiri: Mara nyingine, hatufahamu uwezo mkubwa wa kufikiri ulioko ndani yetu. Tunaweza kuwa na uwezo mkubwa kuliko tunavyodhani. Mara nyingine, mawazo hasi au watu katika maisha yetu wanaweza kutufanya tuwe na imani duni kuhusu uwezo wetu. Awazo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo, vile tunavyokuona na matokeo ya mfumo wako wa kufikiri. Unavyoongea, unavyo vaa, unavyojali wengine au kuwahudumia wengine ni matokeo au ni uakisi wa vile ulivyondani yako. Uwezo wa mwanadamu wa kufikiri ni mkubwa sana lakini kwasababu ya wingi wa taarifa hasi na potofu zinazoingia katika akili yako basi zinaharibu mfumo wa kufikiri. Kwenda mwezini kulianza kama wazo dogo na hatimaye mwisho lilifanikiwa. Watafiti wanasema kuwa ubongo ni kama sumaku unavuta chochote maishani unachokiwazia. Waswahili kufahamu hili walikuja na semi moja maarufu isemayo awazalo mjinga ndilo litakalompata. Kwa maana nyingine ni kuwa endapo utawaza mambo ya msingi na ya maendeleo na utayaweka katika matendo basi yatakuwa kama ulivyowaza.

Bob Proctor mwandishi maarufu katika vitabu vyake vingi amegusia suala la mtetemo yaani vibration akasema ya kwamba kila kitu katika dunia hutetema, na vito vinavyo tetema katika frequency moja basi huwa na tabia kuambatana au kuvutana. Mwanzo wa kila kitu katika maisha yetu huanzia na mtazamo wetu. Jinsi tunavyofikiri na kutazama mambo inaathiri jinsi tunavyoendesha maisha yetu.

Chuja Mawazo Yako: Kumbuka kuwa unaweza kudhibiti mawazo yako. Unaweza kuchuja mawazo yasiyofaa na kuyabadilisha kuwa chanya ili kuathiri maisha yako kwa njia nzuri. Katika nafsi au moyo wako ndimo zilimo chemichemi za mawazo yako na Kama unataka kubadili mtazamo wako, unahitaji kuanza kwa kubadili moyo wako. Ni kwa kufanya hivi utaweza kufikia mabadiliko chanya katika maisha yako ya kwamba ujue mabadiliko ya kweli yanaanzia ndani.

Ubongo wa Binadamu: Ubongo wa binadamu ni kompyuta kubwa inayoweza kufanya mambo makubwa. Kama vile unavyoweza kufanya programu kwenye kompyuta, unaweza kufanya programu katika ubongo wako ili kuboresha maisha yako. Wataalamu wa saikolojia wanajua jinsi ya kubadili na kudhibiti mtazamo wa mtu kwa kufanya programu ya akili yake kwa njia ya mifumo fulani ambayo imefanyiwa utafiti wa muda mrefu. Kwa mfano je umewahi kujiuliza kwanini matangazo ya makampuni mengi duniani yanakuwa mafupi pengine dekunde kumi tuu lakini linarudiwa rudiwa vilevile miaka nenda rudi, Je umewahi jiuliza kwanini baadhi ya rangi zinazotumika katika logo maarufu na kubwa duniani ni rangi amabazo kama zinafanana blue na jamii zake na yekundu na jamii zake. Je ni kwa bahati mbaya? Hapana wataalamu wanajua ubongo wa mtu anaweza kuwa programmed kama computer nyingine tuu. Ndio maana kitabu hiki kinakujia kama muongozo wa kufahamu namna ya kuchimba dhahabu katikati ya masikio yako.

Elimu na Kujitambua: Kumbuka kuwa elimu ya kawaida inayotolewa shuleni haitoshi pekee kukuwezesha kuwa mtu mwenye ufahamu wa kutosha wa kuwa jitu kati ya watu na kufanya makuu. Unahitaji kujitambua na kuunda mtazamo wako mwenyewe kwa kutumia maarifa uliyonayo kufikia mafanikio makubwa ya ndoto zako. Kupitia sura hii, utagundua jinsi mtazamo wako unavyoweza kuathiri kila eneo la maisha yako na jinsi unavyoweza kudhibiti na kuboresha mitazamo yako ili kufanikiwa na kuwa mtu bora zaidi.

NGUVU YA KUFIKIRI

Huenda katika akili yako tayari umeshaingiza taarifa nyingi sana ambazo hazina umuhimu wowote zaidi ya kukufanya urudi nyuma na kuwa copy ya watu wengine au kuwa mtu fake. Kabla ya kufahamu namna ya kutengeneza utaratibu na mfumo mpya lazima ujue makosa hayo yalipitia njia gani.

Kuna malango makuu matatu ambayo yanaingiza taarifa katika akili yako na kukufanya uwe ivyo ulivyo. Sasa basi embu tuone hiyo milango mitatu muhimu sana ambayo hupeleka taarifa moja kwa moja katika akili yako na kukufanya uwe hivyo ulivyo.

Mlango wa masikio (Ear gate)

Chagua vitu chanya vya kusikiliza, unavyosikiliza sana vina nguvu ya kukubadilisha wewe katika fikra na mtazamo wako. Ukisikiliza kitu fulani mu

Chagua vitu vya kujenga na vyenye faida katika maisha yako,vitu vitakavyokusaidia uongeze ubunifu wako katika kufikiri na kuumba mawazo mapya pamoja na kupenda na kusaidia viumbe wengine wa Mungu. Sikilza vitu vitakavyokufanya uwe jitu lenye akili na shauku ya kuwa mtawala na tajiri mkubwa au mtu mwenye maadili mema katika jamii na kusaidia wengine. Kusaidia wengine ni dawa kubwa ya kujiponya nafsi yako na mlango wa kutengeneza marafiki wapya wenye tija. Ni watu hupandisha watu na ni watu hushusha watu.

Lango la mdomo (Mouth gate)

Chagua kwa umakini maneno unayojisemea mwenyewe au unawaambia wengine. Maneno unayojizungumzia yana nguvu kubwa ya kukufanya au jitu au kiumbe dhaifu. Mfano nilikua na rafiki yangu alikua hapendi kwenda nyumba ya ibada kabisa nikamuuliza siku moja kwanini hupendi kwenda nyumba za ibada ukasali na ujichanganye na watu? Akanijibu kuwa haendi kwa sababu anaamini watu wengi pale hawampendi na pia hawapendi, akaendelea kusema wana majivuno na kujiona ni bora zaidi na hawapendi watu wengine. Icho ndicho alichoamini. Nilimshauri kuwa mtizamo wake ndio unamponza hakuna mtu anayemchukuia. Nikamwambia aanze kuonyesha upendo kwake binafsi na pia akienda pale kanisani awe na uso wa tabasamu na aanze kusalimia watu hata kwa kuwapungia tuu. Alipofanya ivyo aligundua yeye ndiye alikua na shida kwasababu alianza kupendwa na watu sana na hata sasa ni kiongozi wa vijana mahali pale. Tunapata kile tunachokitoa.

Wanasayansi wanasema kuwa energy can not be created nor destroyed but it can be transformed from one form of energy to another,. Maneno unayoongea yanaweza kuwa faraja au kuponya nafsi za waliokuzunguka au pia yanaweza kuwajeruhi na kuumiza nafsi za waliokuzunguka ndio maana ni muhimu sana kuchagua maneno ya kuongea.

Lakini pia haiishii hapo chagua maneno mazuri ya kujizungumzia wewe mwenyewe,jinenee vitu vizuri ambavyo ni positive. Unaweza andika vitu vizuri chanya juu yako na kisha ukawa unajisomea angalau mara mbili kwa siku.

Lango la macho (Eye gate)

chunga unachoangalia sana kina madhara kwenye chanya au hasi kwenye mfumo wako wa kufikiri, Unachoingiza kwenye subconscious mind yako huwa kama amri na hufanyiwa kazi,Na vitu unavyotazama sana vinakubadilisha taratibu bila wewe kujua,

ndio maana mtu anayeangalia filamu za namna ndoa au pesa zilivyo mbaya ni ngumu kutamani ndoa au kuwa na pesa nyingi,kama ilivyo jamii kubwa ilivyoaminishwa utajiri mkubwa sio mzuri na pia mtu hawezi kuupata kiurahisi.

Hii ni sehemu ndogo ya kitabu changu Be that top 1%
 
Nimefanikiwa kusoma mwanzo Hadi mwisho.......asee kitabu kitakuwa Bomba
 
Siku zote ukiwa kinyume na 99% lazima utatoboa tu.

Siri ya utajiri aliusema Paulo: Tengeneza connection alafu uwe msafi na mwaminifu .
Waebrania 12:14
[14]Tafuteni kwa bidii kuwa na amani na watu wote, na huo utakatifu, ambao hapana mtu atakayemwona Bwana asipokuwa nao;
Follow peace with all men, and holiness, without which no man shall see the Lord:
 
kabisa mkuu mafanikio yanatokana na watu how unahusiana nao
 
Kabisa ndo maana Paulo anasema tafuta kwa bidii kuwa na amani na watu wote .
Bila connection na wafanyabiashara mahiri huwezi kuwa mfanyabiashara mahiri.
Bila connection na mwalimu bora huwezi kuwa mkufunzi bora.
Bila connection ya watu fulani, ni vigumu kupata kazi, haimaanishi ujirahisishe hapana, unakuwa competent.

Na kwasababu connection ni kanuni ya asili ya kuendelea kuwepo au kufanikiwa, hii haiwezi Isha.
 
Madini mazuri,nawaomba watoa madini wa namna hii,mtanabaishe majina yenu halisi,ili tujifunze pia kwa vitendo kwa kuwa inspired na maisha yenu.Yawezekana uliyeandika ni Mh.Bashe,au Mo Dewji n.k.
 
Thanks, kwa bandiko Bora.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom