Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 49,586
- 55,255
👀♻️✨️Hii awamu kuna haja kabisa ya kusilimu
👀♻️✨️Hii awamu kuna haja kabisa ya kusilimu
Kumbe Vyuma Vimeingia Allah Is GreatComment bila picha hainogiView attachment 2662547
Nachangamsha mada mkuu😬Unajipendelea au sio
Nimeona nyuzi ambazo unakuwa overactive kwa sababu ya dini fulani. Huku ukikaa kimya kwa nyuzi zinazoonyesha muelekeo wa kudharau dini zingine.Unani underestimate sana..
Sipendagi mada za kushambulia dini za watu ...
Unaweza nionesha wapi nime shambulia dini yeyote..?
Mtu kutetea kile unacho kiona wewe ni imani yake sio Sawa na kuponda imani ya watu Wengine...Nimeona nyuzi ambazo unakuwa overactive kwa sababu ya dini fulani. Huku ukikaa kimya kwa nyuzi zinazoonyesha muelekeo wa kudharau dini zingine.
Tulizana hapo, I'm saving my comment. I will remind you siku si mingi.
kutoka kuwa the boss mpaka kuwa the kijiwe cha kahaw huyu bwana.Nimeona nyuzi ambazo unakuwa overactive kwa sababu ya dini fulani. Huku ukikaa kimya kwa nyuzi zinazoonyesha muelekeo wa kudharau dini zingine.
Tulizana hapo, I'm saving my comment. I will remind you siku si mingi.
100%Kwenye urembo sijui ila kwenye utii/heshima/nidhamu kwa waume zao wengi wao vizuri.
Ukikaa hivi mara wajomba wapo bandarini mara binamu wamekuja muhimbili...tusilimu tuKabisaaa, uje tu nikusilimishe, mwaka wa Waarabu huu
Ni Sudan hii hii wanayotunguana mabomu au nyingine duh yaani visu juu ya gadem visu 🔥🔥🔥Comment bila picha hainogiView attachment 2662547
Mbavu zangu...Hii awamu kuna haja kabisa ya kusilimu
Kisa umeona wanafunzi kutoka SudanKwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Sexless unit imebainika pasipo shaka kuwa asilimia kubwa ya wadada wa kiislam ni warembo mno kuliko wale wa upande wa pili.
Hata wewe mwanaJF fanya utafiti binafsi mtaani kwako kisha lete majibu.
Unapambana na Islamophobia huku ukikaa kimya juu ya Hatred juu ya Wakristo?Mtu kutetea kile unacho kiona wewe ni imani yake sio Sawa na kuponda imani ya watu Wengine...
Wewe unaweza tetea imani yako bila kupanda wala kutukana wala kukejeli imani za watu wengine...
Actually most of times napambana na "islamophobia" humu kuliko hata kutetea Uislam...hivyo vitu ni vitu viwili tofauti kama unanielewa.....Mtu akipambana na chuki zidi ya wayahudi haimfanyi kuwa anapambania wayahudi Kwa kila kitu..
I hope umenielewa