Utafiti: Asilimia kubwa ya wadada wa kiislam ni wazuri/warembo kuliko wa upande wa pili

Unani underestimate sana..
Sipendagi mada za kushambulia dini za watu ...
Unaweza nionesha wapi nime shambulia dini yeyote..?
Nimeona nyuzi ambazo unakuwa overactive kwa sababu ya dini fulani. Huku ukikaa kimya kwa nyuzi zinazoonyesha muelekeo wa kudharau dini zingine.

Tulizana hapo, I'm saving my comment. I will remind you siku si mingi.
 
Mtu kutetea kile unacho kiona wewe ni imani yake sio Sawa na kuponda imani ya watu Wengine...
Wewe unaweza tetea imani yako bila kupanda wala kutukana wala kukejeli imani za watu wengine...

Actually most of times napambana na "islamophobia" humu kuliko hata kutetea Uislam...hivyo vitu ni vitu viwili tofauti kama unanielewa.....Mtu akipambana na chuki zidi ya wayahudi haimfanyi kuwa anapambania wayahudi Kwa kila kitu..

I hope umenielewa
 
kutoka kuwa the boss mpaka kuwa the kijiwe cha kahaw huyu bwana.
 
Unasemea hawa au😂😂
FB_IMG_16871985411745163.jpg
 
Kabla sijaendela na assume mtoa mada anamaanisha wavaa hijab au Shungi. maana wapo wanawake wa kiislamu l(only by name)ambao hawavai

Inaweza ikawa kweli , lakini mara nyingi msichana yoyote mwenye ngozi nzuri( nieleweke kidogo namaanisha chocolate colour au maji ya kunde na kuendelea )akivaa Hijab au shungi anaonekana mrembo ila tatizo 'nyumba ni choo', wengi wao wanakosa sifa hio.
 
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Sexless unit imebainika pasipo shaka kuwa asilimia kubwa ya wadada wa kiislam ni warembo mno kuliko wale wa upande wa pili.

Hata wewe mwanaJF fanya utafiti binafsi mtaani kwako kisha lete majibu.
Kisa umeona wanafunzi kutoka Sudan
 
Mtu kutetea kile unacho kiona wewe ni imani yake sio Sawa na kuponda imani ya watu Wengine...
Wewe unaweza tetea imani yako bila kupanda wala kutukana wala kukejeli imani za watu wengine...

Actually most of times napambana na "islamophobia" humu kuliko hata kutetea Uislam...hivyo vitu ni vitu viwili tofauti kama unanielewa.....Mtu akipambana na chuki zidi ya wayahudi haimfanyi kuwa anapambania wayahudi Kwa kila kitu..

I hope umenielewa
Unapambana na Islamophobia huku ukikaa kimya juu ya Hatred juu ya Wakristo?

That is almost the best way of promoting Islamism. Ni kujidanganya kitoto kuwa unachukizwa na chuki dhidi ya Uislamu huku ukijidai kutoupigania huo Uislamu.

The truth is, you have been against those who show hatred again Islamic religion and never being on the side of the attacked, as a person.

Being against Islamophobia while being quiet towards Christianophobia is a simple way to show that you are promoting Islamic religion..
 
Back
Top Bottom