ccm itakufa kifo cha mendeBasi Kila Mtu abakie Na Utabiri Wake 😄😄
Hivi Tz walishashindwa kununua mitambo ya maana kuweza kupimia hali ya hewa kwa usahihi kama wafanyavyo 'mamtoni'?.....,.vinatarajiwa kuwa na mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.
General disposition, hata isipotokea wanakwepa lawama.
Rubbish!
Kijiji cha Lesoit, Kata ya Lengatei, Tarafa ya SunyaSehemu gani kiteto?
Sahihi..bila kununua vifaa vya kisasa, wataendelea kupiga ramli..Utabiri ni Science,inahitaji uwekezaji wa miundombinu, ambao ni gharama kubwa..lazima tujinyimeUtabiri wao huea ni wa kijumla sana ambao hata mtu yeyote anaweza kusema hivyo.kule ulaya huwa wanatabiri na kutaja kijiji ambacho mvua itanyesha
Mimi maeneo ya njoro.ndo ninapo limiaKijiji cha Lesoit, Kata ya Lengatei, Tarafa ya Sunya
Nasikia mama kaihairisha mpaka mwakani !Hata elininyo ni uzushi ,hakuna KITU.
Waiting..........,.vinatarajiwa kuwa na mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.
General disposition, hata isipotokea wanakwepa lawama.
Rubbish!
nusu imeshaliwaWaiting.....
For El Nino
Huku bil 730 zikitumika kujitayarisha.
For
Unaenda Njoro kulima ukitokea nyumbani wapi? Mimi nyumbani ni Lesoit kitongoji cha Orbigit.Mimi maeneo ya njoro.ndo ninapo limia
Mradi tu huoNAWASIWASI NA ELNINO PIA
KondoaUnaenda Njoro kulima ukitokea nyumbani wapi? Mimi nyumbani ni Lesoit kitongoji cha Orbigit.
Mkuu unajua maana ya utabili wa hali ya hewa (Weather forecasting)? Pia unajua kua hali ya hewa (weather conditions) inabadilika kila muda? Mambo mengine tuache porojo za itikadi za siasa......,.vinatarajiwa kuwa na mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.
General disposition, hata isipotokea wanakwepa lawama.
Rubbish!
Ngoja CHADEMA waone hiki ulicho kiandika kama wataendelea kukuita kamanda...Niko Arusha hapa, jana imepiga, na leo asubuhi imenyesha kama masaa matatu ya kunyooka. Na usiku huu bado inanyesha manyunyu ya hapa na pale. Kuna dalili tukakesha nayo.
Sijui ata kama hao ambao unawataja unaelewa wanachokua wakisema kabisa. TMA aifanyikazi peke yake kumbuka wanafanya kazi na WMO ata CNN wao kazi ni kutoa matangazo kuhusu ilo nasio wao kua wanafanya kazi ya kuforecast weatherThe issue is: maneno hayo hayo kila utabiri. Angalia CNN, Al Jazeera and the like, you will notice the difference!