Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,176
- 25,990
Basi Kila Mtu abakie Na Utabiri Wake 😄😄
Hadi waingie CNN.....,.vinatarajiwa kuwa na mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.
General disposition, hata isipotokea wanakwepa lawama.
Rubbish!
Utabiri kwa Kiinglish ni prediction which means "can happen or not"!.....,.vinatarajiwa kuwa na mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.
General disposition, hata isipotokea wanakwepa lawama.
Rubbish!
Bora Tu awe wanasema " Hali itakuwa kamakawaida".....,.vinatarajiwa kuwa na mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.
General disposition, hata isipotokea wanakwepa lawama.
Rubbish!
Kabisa hata mimi kila nikiangalia taarifa zao hua ni hivi mwaka mzima.....,.vinatarajiwa kuwa na mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.
General disposition, hata isipotokea wanakwepa lawama.
Rubbish!
Upepo wa hapa na pale.....,.vinatarajiwa kuwa na mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.
General disposition, hata isipotokea wanakwepa lawama.
Rubbish!
Na hapo ndo kebehi itaisha. We subiri tu.Zikianza kupiga, mtaanza kilio
Wanataka eti ni mpaka inyeshe hapo kwake ndo ataamini.Wanavuta bhangi hawa, Wanazani utabiri una cover Tanzania nzima.
Huku mwambao wa pwani hakuna...sasa mbina wanasema mvua tanga, pwani unhuja na hakuna kitiHapana. Hapo mkuu umeshindwa ku-appreciate kazi yao nzuri wanayofainya. Kwa mfano leo Jumamosi tar.10/10/2026 usiku huu ninapoandika hapa; ni saa Tatu na dk 26 usiku (9:27 pm)na Tayari huko nje mvua inanyesha japokuwa sio ile El nino. Lakini Utabiri wao walisema mvua zitaanza kati ya wiki ya mwisho ya Sept. na wiki ya kwanza ya Okt. 2026. Na kweli imenyesha. Wapewe maua yao broo. Niko Kiteto Manyara hapa.
Bhangi anauza mama yako? Jibu hoja hakuna sababu ya matusi.Wanavuta bhangi hawa, Wanazani utabiri una cover Tanzania nzima.
Mwishoni wanamaliza na, .......matarajio ni kutakuwa na mabadiliko kidogo.....,.vinatarajiwa kuwa na mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.
General disposition, hata isipotokea wanakwepa lawama.
Rubbish!
Subiri kidogo. Hata huku ilikonyesha sio ile ya mtiti wa El nino.Huku mwambao wa pwani hakuna...sasa mbina wanasema mvua tanga, pwani unhuja na hakuna kiti
Weather forecast inayofanywa kisayansi huambatana na probabilities ili kuwafanya wasikilizaji waelewe kwamba bado kuna chance (hata kama ni ndogo) ya hicho kitu kutokutokea. Mazafakas wao wanafanya weather forecast kwa style ya wapiga ramli wa Bagamoyo!.....,.vinatarajiwa kuwa na mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.
General disposition, hata isipotokea wanakwepa lawama.
Rubbish!
Sorry mkuu, kwani umeshanawa baada ya kifiro nilichokupatia?!!!Usipo mtaja bwana wako hujisikii Raha kabisa
Mvua za maembe kuanzia mwezi wa 9 na wa 10 mbona ni kawaida ,wao walivyosema kuna elninyo tukajiandaa kama elninyo ya mwaka 1998.Zikianza kupiga, mtaanza kilio
Hizo mvua za maembe tu ni kawaida ,walivyosema elninyo tukajiaandaa kwa elninyo lakini olaaaaaaa.Niko Arusha hapa, jana imepiga, na leo asubuhi imenyesha kama masaa matatu ya kunyooka. Na usiku huu bado inanyesha manyunyu ya hapa na pale. Kuna dalili tukakesha nayo.
Duuh yaani watu mnataka utabiri uwe 100% accurate?.....,.vinatarajiwa kuwa na mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.
General disposition, hata isipotokea wanakwepa lawama.
Rubbish!