Huyu member huwaga ananshangaza sana

Huyu member huwaga ananshangaza sana

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
5,461
Reaction score
8,596
Kuna huyu member kwenye huu uzi hapa chini analalamikia kwamba TMA kila siku wanakuja na mambo yaleyale uzi huu hapo chinj

Kuna uzi nilisema tuwe na satellite kama nchi na itasaidia kwenye mambo mengi sana ikiwemo weather forecasting huyu member akanitumu mimi ni kichaa natakiwa kwenda mirembe kwa kusema tu tuwe na satellite ambayo itasaidia kwenye mambo mengi sana
Uzi huu hapa na angalia comment ya sita ya huyu member

Siku sio nyingi anawalaumu TMA kwa kutokuwa na accuracy

Sasa unajiuliza huyu mtu anajitambua kweli yaani upinge satellite na mda sio mchache uwalaumu TMA

As long hatuna satellite yetu kama nchi ni ngumu sana kwa TMA kuwa na accuracy kwenye weather forecasting

Na aina hii ya huyu member inakupa picha ya watu wengi wa humu jamiiforum
 
Hauna ubavu wa pesa wa kuhimili kurusha satellite uko juu, kama European nations zenyewe hawana ubavu huo wanamtegemea USA, na kidogo France na uk
 
Watu wengine humu JF wako Wodini milembe na wanamiliki simu
Alienda kuniquote mpaka kwenye zile nyuzi za watu wenye mental problem nikamwambia keep it up
Mda mchache mbele anawatuhumu TMA hawana accuracy aisee amenishangaza sana

Kama hatuna satellite sio moja nyingi ni ngumu kwa TMA kuwa na accuracy kwenye weather forecasting

Na watu kama hawa ndo wamejaa kwenye ofisi za umma
 
Hauna ubavu wa pesa wa kuhimili kurusha satellite uko juu, kama European nations zenyewe hawana ubavu huo wanamtegemea USA, na kidogo France na uk
Na hizi akili zako zilizochanganyika na inferiority complex ndo zinafanya waafrika tuendelee kudharaulika
 
Tudeal na madawati na vyoo
Kama nchi lazima uwe na vyanzo vingi vya kuongeza mapato mojawapo ni hiyo kuwa na satellite ambazo zitawaingizia nchi mapato mengi na yatatumika kuboresha huduma za kijamii nyingi ikiwemo madawati
 
Kuna huyu member kwenye huu uzi hapa chini analalamikia kwamba TMA kila siku wanakuja na mambo yaleyale uzi huu hapo chinj

Kuna uzi nilisema tuwe na satellite kama nchi na itasaidia kwenye mambo mengi sana ikiwemo weather forecasting huyu member akanitumu mimi ni kichaa natakiwa kwenda mirembe kwa kusema tu tuwe na satellite ambayo itasaidia kwenye mambo mengi sana
Uzi huu hapa na angalia comment ya sita ya huyu member

Siku sio nyingi anawalaumu TMA kwa kutokuwa na accuracy

Sasa unajiuliza huyu mtu anajitambua kweli yaani upinge satellite na mda sio mchache uwalaumu TMA

As long hatuna satellite yetu kama nchi ni ngumu sana kwa TMA kuwa na accuracy kwenye weather forecasting

Na aina hii ya huyu member inakupa picha ya watu wengi wa humu jamiiforum
Wewe pia ni wa ajabu. Kuna uzi wako flani majuzi ulileta kuhusu gesi yetu. Ukipinga haiwezekani gesi kuunganishwa kwa kila nyumba Tanzania kwasababu hakujapangiliwa.

Sasa nikajiuliza mbona kwenye nyuzi zako unajigamba ukiwa rais utahamisha ozone layer ya planet Jupiter uilete duniani? Lakini kuweka miundo mbinu ya gesi kwa kila nyumba Tanzania kwako ngumu kuliko kuhamisha ozone layer ya Jupiter kuileta duniani.

Ndo maana nawatafuta shemeji yako na dada yako tukae kikao tukusaidie. Na kabla ya kukusaidia lazima kwanza upokee mkong'oto wa haja tukukabidhi maumivu makali ili usiendelee kuposti utopolo.

Red black
 
Kuna huyu member kwenye huu uzi hapa chini analalamikia kwamba TMA kila siku wanakuja na mambo yaleyale uzi huu hapo chinj

Kuna uzi nilisema tuwe na satellite kama nchi na itasaidia kwenye mambo mengi sana ikiwemo weather forecasting huyu member akanitumu mimi ni kichaa natakiwa kwenda mirembe kwa kusema tu tuwe na satellite ambayo itasaidia kwenye mambo mengi sana
Uzi huu hapa na angalia comment ya sita ya huyu member

Siku sio nyingi anawalaumu TMA kwa kutokuwa na accuracy

Sasa unajiuliza huyu mtu anajitambua kweli yaani upinge satellite na mda sio mchache uwalaumu TMA

As long hatuna satellite yetu kama nchi ni ngumu sana kwa TMA kuwa na accuracy kwenye weather forecasting

Na aina hii ya huyu member inakupa picha ya watu wengi wa humu jamiiforum
Kuna kila dalili wewe na huyo member ni mtu mmoja.
 
Sasa kinachokushangaza ni kipi kwa yeye kulalamika? Ulitaka yeye ndiye awaleteeni hiyo satelite?
Kwa yale unayoandika ukiyakosoa humu au ukipendekeza namna ya kufanywa kwanini usiyafanye?
 
Wewe pia ni wa ajabu. Kuna uzi wako flani majuzi ulileta kuhusu gesi yetu. Ukipinga haiwezekani gesi kuunganishwa kwa kila nyumba Tanzania kwasababu hakujapangiliwa.

Sasa nikajiuliza mbona kwenye nyuzi zako unajigamba ukiwa rais utahamisha ozone layer ya planet Jupiter uilete duniani? Lakini kuweka miundo mbinu ya gesi kwa kila nyumba Tanzania kwako ngumu kuliko kuhamisha ozone layer ya Jupiter kuileta duniani.

Ndo maamaa nawatafuta shemeji yako na dada yako tukae kikao tukusaidie. Na kabla ya kukusaidia lazima kwanza upokee mkong'oto wa haja tukukabidhi maumivu makali ili usiendelee kuposti utopolo.
Unajua tofauti ya LPG n LNG
iNaonekana hujui hata yofauti ya hizi gesi

LPG haiunganishwi majumbani inauzwa kwenye mitungi ndo uzi wangu ulipojikita
 
Sasa kinachokushangaza ni kipi kwa yeye kulalamika? Ulitaka yeye ndiye awaleteeni hiyo satelite?
Kwa yale unayoandika ukiyakosoa humu au ukipendekeza namna ya kufanywa kwanini usiyafanye?
NA wewe ni sawa na yeye akili mbovu a.k.a kisoda
 
Back
Top Bottom