Utabiri wa TMA kila siku ni huu

Utabiri wa TMA kila siku ni huu

Ngoja CHADEMA waone hiki ulicho kiandika kama wataendelea kukuita kamanda...
Kwamba cdm walisema haitanyesha hiyo juzi? Ama unataka kutengeneza dhana zako potofu dhidi ya cdm? Issue ni kuwa TMA hawaamiki na utanibiri wao, na wala sio mvua kunyesha hiyo juzi.
 
Kwamba cdm walisema haitanyesha hiyo juzi? Ama unataka kutengeneza dhana zako potofu dhidi ya cdm? Issue ni kuwa TMA hawaamiki na utanibiri wao, na wala sio mvua kunyesha hiyo juzi.
Hivi unajua maana ya utabiri wa hali ya hewa(weather forecasting ) kamanda?
 
Kwamba cdm walisema haitanyesha hiyo juzi? Ama unataka kutengeneza dhana zako potofu dhidi ya cdm? Issue ni kuwa TMA hawaamiki na utanibiri wao, na wala sio mvua kunyesha hiy
 
Attachments

  • PRAISE_TEAM_TAG_FOREST_YA_KWANZA__BWANA_NIMERUDI_TENA.mp4
    35.1 MB
Hivi unajua maana ya utabiri wa hali ya hewa(weather forecasting ) kamanda?
Najua vizuri, ila TMA haikusema kama unavyotaka ieleweke sasa, wao walikuwa 100% mvua itaanza mwishoni mwa September, na mwanzoni kwa October, ila sio kweli. Kuna mazingira hata ikinyesha inaweza isiwe kwa kiwango walichosema wao.
 
Ndugu utamaduni wa kupinga pinga unaenda kukulemaza kamanda. Kuna taarifa ambayo ilisema wa uhakika 100% kweli? Lakini pia mbona kuna mikoa,sehemu na nchi kama Uganda mvua kubwa imeisha anza. Waulize watu wa Kagera,Geita baadhi ya wilaya watakupa mrejesho.
, Rainfall associated with the El Niño conditions has already started in parts of Kagera and Geita. [1, 2]
  • Timeline: According to the Tanzania Meteorological Authority (TMA), the El Niño phenomenon is actively strengthening and early scattered rainfall and thunderstorms began around the Lake Victoria basin—including Kagera and Mara—from late September into early October 2026. [1]
  • Peak Season: The heavy rains are expected to intensify and reach their peak across the region between November and December 2026, with some off-seasonal rains possibly extending into January 2027. [1, 2]
 
Najua vizuri, ila TMA haikusema kama unavyotaka ieleweke sasa, wao walikuwa 100% mvua itaanza mwishoni mwa September, na mwanzoni kwa October, ila sio kweli. Kuna mazingira hata ikinyesha inaweza isiwe kwa kiwango walichosema wao.
Unaweza kutuonesha(share) hiyo taarifa waliyosema ni 100%??
 
Kwanza; El-Nino haimaanishi LAZIMA kunyeshe mvua kubwa kila sehemu duniani, Africa au Tanzania kwa wakati ule ule!

Kisayansi El-Nino ni hali ya ongezeko lisilo la kawaida la joto ndani ya bahari ya Pacific hasa upande wa mashariki. Kwa kuwa ni hali inayotokea kuelekea Christmas (kuzaliwa kwa Kristo) basi wenyeji wanaotegea bahari ya Pacific waliipa jina kitoto-cha kiume - EL-NINO!
Kinyume cha Elnino ni La-Nina (kitoto-cha kike) ikiambatana na kushuka kwa joto ndani ya Pacific.

NB: Kumbuka bahari ya Pacific ni kubwa (eneo lake ni kubwa zaidi ya jumla ya ardhi kavu ya mabara yote duniani).
Hivyo mabadiliko ya joto ndani ya Pacific yanaweza kusababisha mabadiliko ya joto dunia nzima.
Ili mvua inyeshe ama isinyeshe joto ni kiungo kimojawapo! Lakini pia kuna uoto wa asili, umbali kutoka vyanzo vikubwa vya maji, milima, n.k

Kiasili mzunguko wa El-Nino na La-Nina unaitwa El-Nino Southern Oscillation(ENSO) na hutokea kila baada ya miaka 2 hadi 7. Mzunguko wa miaka 7 pia umeandikwa hadi kwenye Biblia Takatifu (Soma Mwanzo 41 - Ndoto ya Pharao na tafsiri yake).

Mara nyingi athari za El-Nino ni pamoja na mvua...maeneo fulani ya Dunia... Na wakati huo huo ukame maeneo fulani ya Dunia.

Mabadiliko makubwa yanayoendelea ya tabianchi (climate change) yanaathiri vile vile mzunguko wa ENSO.
Kubwa zaidi ni kwamba mabadiliko ya tabianchi yana athari kubwa hata models/formula/mahesabu yanayotumika kwenye utabiri wa hali ya hewa.

In short things are no longer the same!
Hapa ndipo watabiri wanatakiwa wawe makini. Effects za bahari ya Pacific kwa Africa ni very minimal.
America na far East El Nino hudhihirika kikweli kweli.
Changamoto ni kwamba tunaimba wimbo mmoja badala ya kutunga wa kwetu unaoendana na mazingira yetu..
 
Kwamba walisema hawana uhakika ama? Zile 700b kwa ajili ya kujiandamaa na maafa zilikuwa za nini kama sio 100%?
Kamanda kwamba wewe ukijiwekea akiba ili kujiandaa na njaa na hiyo njaa au bei ya vitu isipande na njaa hamna utakua umekosea?
 
Hakuna hela za bure. Wamejitahidi kwa kiwango chao. Ingekuwa wamekaa kimya halafu wakatumia mafungu ya Serikali tungesema ni kweli wanatafuna hela ya bure.
Wamejitahidi kitu gani?kwani hiyo Elnino imeshatokea?ukitaka ujue kama wanakula hela za bure nenda ukawaulize wamepimaje kujua kama kutakuwa na elnino hawatakuwa na majibu
 
Wamejitahidi kitu gani?kwani hiyo Elnino imeshatokea?ukitaka ujue kama wanakula hela za bure nenda ukawaulize wamepimaje kujua kama kutakuwa na elnino hawatakuwa na majibu
Vifaa walivyonavyo; japo sio vifaa advanced sana, vinauwezo wa kuwawezesha walau kusema kitu. Kila Mkoa na Wilaya vipo vifaa vya kupima hali ya Hewa Meteorological Stations. Jaribu kufuatilia mkuu.
 
Vifaa walivyonavyo; japo sio vifaa advanced sana, vinauwezo wa kuwawezesha walau kusema kitu. Kila Mkoa na Wilaya vipo vifaa vya kupima hali ya Hewa Meteorological Stations. Jaribu kufuatilia mkuu.
Vifaa vya kizamani kweli wanavyo ila sidhani kama vina uwezo wa kutabiri majanga makubwa kama elnino au tetemeko la ardhi.
Hivi wametaja tarehe ya kuanza hiyo elnino?
Ikitokea elnino kwenye tarehe iliyotajwa unitag kwenye hii comment yangu nakutumia elfu 10 ya vocha
 
Back
Top Bottom