Utabiri wa TMA kila siku ni huu

Utabiri wa TMA kila siku ni huu

Najua vizuri, ila TMA haikusema kama unavyotaka ieleweke sasa, wao walikuwa 100% mvua itaanza mwishoni mwa September, na mwanzoni kwa October, ila sio kweli. Kuna mazingira hata ikinyesha inaweza isiwe kwa kiwango walichosema wao.

Kwani september hazijanyesha mvua, au mpaka zinyeshe kwako
 
Vifaa vya kizamani kweli wanavyo ila sidhani kama vina uwezo wa kutabiri majanga makubwa kama elnino au tetemeko la ardhi.
Hivi wametaja tarehe ya kuanza hiyo elnino?
Ikitokea elnino kwenye tarehe iliyotajwa unitag kwenye hii comment yangu nakutumia elfu 10 ya vocha

Hizo data wanashare na lab nyingine zenye satellite kubwa na uwezo wa kuchakata data mkubwa.
 
Vifaa vya kizamani kweli wanavyo ila sidhani kama vina uwezo wa kutabiri majanga makubwa kama elnino au tetemeko la ardhi.
Utabiri wa Hali ya Hewa haufungamani na mipaka ya Kitaifa. Hutolewa as a blanket Statement i.e. eneo kubwa. Kuna ushirikiano mkubwa kimataifa baina ya Met.Stations.
Hivi wametaja tarehe ya kuanza hiyo elnino?
Hapana + Ndiyo. Walisema Matarajio ni Wiki ya mwisho Sept. na Wiki ya mwanzo ya Okt. ndo mvua zinatarajiwa kuanza. Hawajataja Tarehe maalum.
Ikitokea elnino kwenye tarehe iliyotajwa unitag kwenye hii comment yangu nakutumia elfu 10 ya vocha
Natanguliza shukrani zangu kwako.
 
Utabiri wa Hali ya Hewa haufungamani na mipaka ya Kitaifa. Hutolewa as a blanket Statement i.e. eneo kubwa. Kuna ushirikiano mkubwa kimataifa baina ya Met.Stations.

Hapana + Ndiyo. Walisema Matarajio ni Wiki ya mwisho Sept. na Wiki ya mwanzo ya Okt. ndo mvua zinatarajiwa kuanza. Hawajataja Tarehe maalum.

Natanguliza shukrani zangu kwako.
Sasa wiki ya mwanzo ya Oktoba mbona imeshapita tayari sasa hivi tuko wiki ya pili kuelekea ya tatu hadi hapo wameshafeli
 
Kutakuwa na vipindi vifupi vya mvua ,,upepo na ngurumo za hapa na pale...

Hawa jamaa sio wa kuamini
 
kwa akili zako ulitaka week ya kwanza tu kuwe na elnino?
Walisema itaanza mwishoni mwa September, na wiki ya kwanza ya october itakuwa imekolea sana. Leo ni lini? Ni ngumu kutetea tabiri za kubumba kwa hoja.
 
Back
Top Bottom