Usipo mtaja bwana wako hujisikii Raha kabisaChadema bwana, dah!
Niko Arusha hapa, jana imepiga, na leo asubuhi imenyesha kama masaa matatu ya kunyooka. Na usiku huu bado inanyesha manyunyu ya hapa na pale. Kuna dalili tukakesha nayo.Hata elininyo ni uzushi ,hakuna KITU.
ikiwa hiyo ndio hali halisi kila siku ulitaka wasemaje gentleman kwa mfano?🐒.....,.vinatarajiwa kuwa na mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.
General disposition, hata isipotokea wanakwepa lawama.
Rubbish!
Hapana. Hapo mkuu umeshindwa ku-appreciate kazi yao nzuri wanayofainya. Kwa mfano leo Jumamosi tar.10/10/2026 usiku huu ninapoandika hapa; ni saa Tatu na dk 26 usiku (9:27 pm)na Tayari huko nje mvua inanyesha japokuwa sio ile El nino. Lakini Utabiri wao walisema mvua zitaanza kati ya wiki ya mwisho ya Sept. na wiki ya kwanza ya Okt. 2026. Na kweli imenyesha. Wapewe maua yao broo. Niko Kiteto Manyara hapa......,.vinatarajiwa kuwa na mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.
General disposition, hata isipotokea wanakwepa lawama.
Rubbish!
Hahaha, ndo utabiri.....,.vinatarajiwa kuwa na mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.
General disposition, hata isipotokea wanakwepa lawama.
Rubbish!
Hata elininyo ni uzushi ,hakuna KITU.
Hapana. Hapo mkuu umeshindwa ku-appreciate kazi yao nzuri wanayofainya. Kwa mfano leo Jumamosi tar.10/10/2026 usiku huu ninapoandika hapa; ni saa Tatu na dk 26 usiku (9:27 pm)na Tayari huko nje mvua inanyesha japokuwa sio ile El nino. Lakini Utabiri wao walisema mvua zitaanza kati ya wiki ya mwisho ya Sept. na wiki ya kwanza ya Okt. 2026. Na kweli imenyesha. Wapewe maua yao broo. Niko Kiteto Manyara hapa.
Ndo hapo Sasa maana wenyewe wanaenda na utabiri kama anaebetikiwa hiyo ndio hali halisi kila siku ulitaka wasemaje gentleman kwa mfano?🐒