Utabiri wa Godbless Lema juu ya Ndugai

Utabiri wa Godbless Lema juu ya Ndugai

Kiko wapi sasa? Unyanyasaji, ubabe,kujilimbikizia mali na madaraka kiko wapi?Ameenda navyo??
Ndiyo maana mfalme Suleman alisema, "yote ni ubatili mtupu".

Mhubiri 1:

3Nilitumia muda wangu wote kujifunza na kuvumbua kwa hekima yote yanayofanyika chini ya mbingu. Jinsi gani Mungu ameweka mzigo mzito juu ya wanadamu! 1:14 Mhu 2:11; 4:4; 6:9Nimeshaona mambo yote yanayotendeka chini ya jua, hayo yote ni ubatili, hii ni kukimbiza upepo
 
Utabiri wa kifala! Kila mtu atakufa, tena alikuwa mzee na mgonjwa!
Mtu alikaa India sijui miezi mingapi leo akifa sijui kauawa, sijui laana ya mungu imemwua, huyo mungu wa wapi, wa uchagani. Huyo mungu wake kwanini asiue wauaji na wabakaji? Tapeli tu anashindwa kuelewa hilo agano la kale.
 
Hamna utabiri wowote hapo, acheni kukuza mambo!
 
Back
Top Bottom