USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 11,733
- 27,838
Katika watu wenye akili kisoda wewe ni mwandamizi
USSR
Katika watu wenye akili kisoda wewe ni mwandamizi
Kama wote tutakufa, mtu akisema flani atakufa na huyo flani akaja kufa siku moja, huo nao ni utabiri?Mwahiyo yeye ni mtabiri wa vifo tu ?
Huu sio utabiri mkuu wanasiasa wengi wanaumwa magonjwa Makubwa kisukari ,ukimwi n.kManabii wa Mungu wamepewa karama na vipawa tofauti tofauti
Watanzania tuna ujinga mkubwa sana .Kama wote tutakufa, mtu akisema flani atakufa na huyo flani akaja kufa siku moja, huo nao ni utabiri?
Ndo yale mambo ya Pasko ya voices from within 🤣.
Ujuha mtupu!
nonsense meaNonsense post
Sio wana siasa tu , jamii nzima inaumwaHuu sio utabiri mkuu wanasiasa wengi wanaumwa magonjwa Makubwa kisukari ,ukimwi n.k
Kama wanajiamini wawe wanatoa timeframeWatanzania tuna ujinga mkubwa sana .
mjifunze kuwa na matendo memaNonsense post
upi?Watanzania tuna ujinga mkubwa sana .
Kuamini upumbavu unaoitwa utabiriupi?
muwe na matendo memaKifo ni cha kila Mtu, na wala kifo siyo adhabu, hata wewe nakutabiria utakufa..
Kama huamini ngoja tukuletee utabiri mwingine, Japo naunga mkono kuhusu vigogo wengi kuugua ngoma, ni almost 95% wana motoHuu sio utabiri mkuu wanasiasa wengi wanaumwa magonjwa Makubwa kisukari ,ukimwi n.k
wewe wasemaKuamini upumbavu unaoitwa utabiri
Kifo ni kifo tu
Hakika.Hukumu ni hapa hapa duniani.
Kweli Ila wansiasa kiboko mkuu .Sio wana siasa tu , jamii nzima inaumwa
Bado wawili natabiri, mwaka huu haupindukiKuamini upumbavu unaoitwa utabiri