MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 20,683
- 42,748
Lema ni mbobezi wa imani za kishirikina kama ilivyo kwa wakristo walio wengi.
Hivi ndivyo wanasiasa wanavyopata kura za huruma. Kwa hiyo kwa akili yako Lissu ana umalaika fulani kiasi cha kukingwa na kifo?.Wote walioshiriki kutaka kumuua Lissu kwa risasi wataondoka mwanzo na Lissu atabaki mzima wa afya. Na huyo samia kama lengo ni kumnyonga Lissu kisa hataki ushindani atatangulia yeye mwanzo na Lissu atabaki.
Kwa bahati nzuri sana Lema hakuta specific period of time so,kwangu Mimi na kwa wote wenye akili timamu unabii umetimiaBullshit! Sasa huo ndo utabiri gani?
Na atakufa kifo cha kusikitisha sanaNa ni lazima afe.
Ujuha wa kiwango cha lami. Kwanza huyo Lema yeye ataishi milele?Kama wote tutakufa, mtu akisema flani atakufa na huyo flani akaja kufa siku moja, huo nao ni utabiri?
Ndo yale mambo ya Pasko ya voices from within 🤣.
Ujuha mtupu!
Hataishi ila wema ni akiba.Ujuha wa kiwango cha lami. Kwanza huyo Lema yeye ataishi milele?
Zingatia nilichoandika na ulichoandika.Hivi ndivyo wanasiasa wanavyopata kura za huruma. Kwa hiyo kwa akili yako Lissu ana umalaika fulani kiasi cha kukingwa na kifo?.
Alipokuwa anasimangwa Lowassa ikatokea kila mwanasiasa aliyemsema vibaya akaanza kufa, huku mitandaoni wakasema maneno yenye kufanana na ujumbe wako. Ikafika siku na Lowassa nae akaondoka.
Kila kiumbe wa Mungu ana tarehe yake ya kuondoka.
🤣Utabiri wa kifala! Kila mtu atakufa, tena alikuwa mzee na mgonjwa!