Hakuna cha utabiri. Jambo kaongea miaka 4 iliyopita Leo umuite mtabari.
That was 2021 sio leo
Jamaa bwege sanaUtabiri 2021?
Acha uzwazwa bwana
Kuna tabiri hata za miaka 20 na zaidi.Hakuna cha utabiri. Jambo kaongea miaka 4 iliyopita Leo umuite mtabari.
Ni sawa Leo mtu aseme kesho ni Alhamisi na ikifika kesho umuite mtabiri Kwa vile ni Alhamis.
Ndugai amekufa sababu wakati wake umefika, hakuna cha unabii Wala ramli.
Na wewe uwe na matendo mema, kifo cha Mtu siyo cha kufurahia, hata kama ulikuwa humpendi.muwe na matendo mema
masikini kafa ghafla....That was 2021 sio leo
Na alijua spika anaumwa
Hakuna cha utabiri hapa. Kafa kwa magonjwa yale. Acheni kabisa upumbavu wa kusujudu watu
Basi na Mimi natabiri rasmi kuwa miaka 150 Toka Leo hii Kila alie hai atakuwa marehemu.Kuna tabiri hata za miaka 20 na zaidi.
aliwatesa sana wapinzani bungeni...............alikuwa hajui neno haki katika dictionary yake.Na wewe uwe na matendo mema, kifo cha Mtu siyo cha kufurahia, hata kama ulikuwa humpendi.
sawa, ila ndugai alikuwa mnyama kabisaHakuna cha utabiri hapa. Kafa kwa magonjwa yale. Acheni kabisa upumbavu wa kusujudu watu
Utabiri gani huu tangible 2021.By the way nami ninatabiri ipo siku Lema atakufa.By the way kila binadamu mwisho wake ni kifo.Hakuna utabiri hapa.
Kwani huyo Lema HATAKUFA? Au kuna mjinga yeyote anayeamini kuwa Lema anajua tarehe ya kila mtu kufa? Wana Chadema ni wajinga na wapumbavu na mnastahili KUPOTEA KABISA katika uso wa dunia!
Awamu ya tano ilizalisha wanasiasa wapumbavu wengi sana.
Sawa. Ila kuna tabiri zaidi ya miaka 20. Kila aliyeshiriki kutaka kumuua Lissu kisa utofauti wa mwanzo atatangulia yeye mwanzo na Lissu atabaki mzima.Basi na Mimi natabiri rasmi kuwa miaka 150 Toka Leo hii Kila alie hai atakuwa marehemu.
Nyumbu ni tatizo kubwa kwa nchi yetu wanajua Lisu na Lema wataishi mileleKama wote tutakufa, mtu akisema flani atakufa na huyo flani akaja kufa siku moja, huo nao ni utabiri?
Ndo yale mambo ya Pasko ya voices from within 🤣.
Ujuha mtupu!
Yohana 8:24Kama wote tutakufa, mtu akisema flani atakufa na huyo flani akaja kufa siku moja, huo nao ni utabiri?
Ndo yale mambo ya Pasko ya voices from within 🤣.
Ujuha mtupu!
Mpeni Kanisa apige hela zenuAsante Nabii Lema